Home
Unlabelled
profesa j
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sio siri hakuna kitu ambacho sikipendi kama kumuona mwanaume tena dume kusuka nywele!! hivyo inakuwaje ndio kuiga, ujana au ushamba? kwa kweli mimi jibu langu ni kuwa wengi wao naona kama mabwabwa yaan watoto sio riski naamini mwanaume aliyekamilika hawezi kukaa kitako na kusukwa nywele.
ReplyDeleteAcha ufala wewe,sasa uanaume una uhusiana nini na nywele.Hiyo ni fashion tu ya nywele, na kila mtu ana uhuru wa kuamua kuweka nywele zake atakavyo.'Mwanaume aliyekamilika' kama unavyodai mwenyewe hapimwi kwa style ya nywele wewe,acha ushamba!Mbona unajishuku?
ReplyDeleteMbona wamasai wanaweka zile nywele zao za kusukwa. Mboan awatu hawachukii. Inategea jinsi unavyoact. Kam umesuka nyele na unaheshima kwa watu hamna neno.
ReplyDeleteMi sipo kwenye mada ya kusuka hiyo ni staili ya maisha.
ReplyDeleteSwali langu hawa jamaa ni wasanii lakini hapo wanaonekana wanaaibu kinoma mbele ya waandishi huyo mmoja kavaa miwani ya jua mwingine anaangalia kitambaa, Usanii kazi na hapo ilitakiwa kuangalia waandishi kwa kujiamini,
matokeo yake hawapandi jukwaani mpaka watoe nishai, bangi na pombe. msanii halisi ni yule anaweza kuwakilisha hisia kwa kujiamini bila msaada wa ndumu wala miwani.
ila jamaa wakiwa studio wanajitahidi kuimba kwani hamna anawaangalia zaidi ya producer.
Nawatakia mafanikio mema ya kuwa wasanii kamili