prodyuza ryhmson (shoto) akimpongeza master j kwa kutwaa tuzo ya prodyuza bora wa mwaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2007

    Rhyamson, vipi mambo hali ya maisha Bongo imekukubali sana Mzee umekuwa kama Fidel Castro. Lini utarudi Toronto?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Wewe "Tarehe Saturday, May 26, 2007 8:10:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous"
    Unafikiri kurudi mtoni ni rahisi rahisi kama hivyo? Mwenzio kapiga akili sasa anaprodusi tu, ila hajamtoa hata mtu mmoja manake studio bongo kila kona. Sasa ameamua kuwa Fideli tu.

    ReplyDelete
  3. Du Rhymson, umependeza sana na style yako. Nakufagilia babake. Yaani imetulia kama SAVIMBI.

    unaproduce wapi? nitafute nikupe deal. Ila kama ni HIP HOP, nadhani itabidi ubadilishe kidogo kwani bongo hakuna HIP HOP, sasa production deal nitakayokupa iwe FUSION MUSIC

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Mi sioni lolote la ziada kwake linalowafanya mumpapatikie saana!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    He! huyo Osama mweusi katoka wapi, atatisha watoto jamani! Master J, hongera unastahili, kazi nzuri!
    Ila huyo kaka kando yako, Savimbi si Savimbi,Fideli si Fideli jamani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...