Home
Unlabelled
staaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuna wachache tu nimefanikiwa kuwang'amua. Waliosimama kutoka kushoto baada ya kipa ni Kihwleo, Masatu,Aswile, ??, J.Lazaro, Kitwana, Nemes
ReplyDeleteWaliochuchumaa kutoka kushoto ni Mwakalebela, Inno Haule, Method Mogella, Marsha, Sanifu, China, Bwanga na ???
mzee kheri (wa pili juu kulia )na juma kidishi(chini kulia)wengine mdau hapo juu ameshawataja
ReplyDeleteHiyo team ilikuwa Bomba lakini
ReplyDeletekipa mliemsahau ni IDD PAZI
ReplyDeleteKatika magolikipa wa bongo nafikiri huyu Idd Pazi Was the best of all,Ni bonge la golikipa hakuna anayemfikia hata ughaibuni Petr Cech wa Cheski hamfikii.
ReplyDeleteKwenye hii timu kuna jamaa alikuwa anaitwa Bure Salehe. Jamaa alikuwa mkali lakini sijui kaishia wapi! Nani anajua
ReplyDelete