Mama Melissa(Hilda Dominic) na Mama Irene(Elizabeth Mlaguzi) pamoja na familia ya Frisch wanasikitika kutangaza kifo cha mdogo wao Tony Frisch kilichotokea Dar-es-salaam Tanzania tarehe 1 may 2007. Mazishi yatafanyika leo ijumaa tarehe 4 may 2007 huko huko dar-es-salaam.
Kwa familia iliyoko marekani kituo cha msiba ni nyumbani kwa Mama Irene Malden MA .
Address ni 467 Ferry St, Malden Ma 02148 na namba ya simu ya nyumbani ni 781 321 6074.
kwa yeyote anayependa kutoa pole au rambirambi anaweza kutuma kadi kwa anuani hiyo hapo juu na anayependa kuongea nao tumia simu hiyo hapo juu na ukipenda kufika kutoa pole add ni hiyo hapo juu.
Pia unaweza kuwatumia message kwenye email ifuatayo: lizmlaguzi@hotmail.com
Tunatanguliza shukurani kwenu wote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dada Eliza na Dada Irene, poleni sana. Mungu Amlaze mahali pema mbinguni. AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...