huyu ndiye mai shemeji yetu tonny shultz aliyekuwa anaishi na hayati theresa shayo kabla miss tz huyo wa kwanza hajafariki dunia january 26 mwaka huu. hapo tonny yuko na mtoto wa rafiki yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    Jamani ni ili kusema tu mtu kaolewa na mzungu vile au?

    Mbona kachoka hivyo? Msitukimbie kaka zenu tupo bado single tu lakini ndio kila siku mnatukataa mnatafuta foreigners?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    Asante kwa kutupa taarifa, siku zote nilikuwa natamani wange mleta Miss Tanzania wa kwanza awe kama Presenter kwenye Miss Tanzania, ingekuwa vizuri, bahati mbaya kafariki.
    Pili ningeomba utupe pia habari za wana dada hawa naikiwezekana picha zao za sasa, kama kina Tabia Mwanjelwa na Betty Enock,maana sija wa sikia tena. asante!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2007

    Tabia Mwanjelwa yuko Bonn Ujerumani, mara ya mwisho nilikutana naye huko 2004.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2007

    wee punda wa juu kabisa unayesema jamaa kachoka huna akili kabisa kwanza humjui jamaa na kumbuka yule mama alikuwa ni mzee tayari (61 yrs) sasa unategemea jamaa yake awe miaka 30...shenzi taipu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2007

    anon wa kwanza unaongea kweli, hii noma labda jamaa alikuwa na kisu?
    ila sidhani, ni kuolewa na mzungu tu ili uolewe na mzungu anyways

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2007

    Ms Tanzania wa kwanza alichaguliwa late 60's early 70's kabla mashindano ya u-'miss' hayajakatazwa, sasa nyie wenye maoni ya kuwa 'partner' wake "kachoka"[yaani mzee!???] mlitegemea aweanaishi na kijana wa miaka 30?Istoshe mbona wanaume kibao [waswahili]wazee wanaoa wasichana wadogo sana kwao na watu hawasemi, au hii ni bias ya kijinsia na reverse racism???

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2007

    Mimi namuuunga mkono huyo annoy anayesema huyu mtu kachoka. Na wala si kiumri au nini................

    Ila walivyoeka picha ya marehemu kuna mwanadada alisema mbona siye mastar tunapata wanaume wabaya au tunaachika? Sasa kama watu wakishakua mamiss TZ au mamodel kutoka bongo ni mastar au wanajiita wenyewe star..tuna expect high quality kutokana na maneno yao ya kujiita star.
    Huyu mwanaume hata mimi anaweza kunioa kama ningekua sijaolewa na mimi sio star.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2007

    Kaka michuzi samahani kuuliza si ujinga huyo baba kwenye picha ni mzungu au zeruzeru maana naona watu wanasema mzungu Michuzi naomba utusaidie.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2007

    KUPENDEZA YA KIBONGO NI KUWA NA TUMBO KUBWA PERIOD. BABA WA WATU ANAKULA VEGETABLES FRUITS LITTLE OF CARBOHYDRATE ANA UMBO LIMETULIA AT HIS AGE MNASEMA KACHOKA INATIA HURUMA SANA WATZ TUBADILIKE...HALAFU HUYO MAMA BORA HATA ALIKAA NA MZUNGU WAKE GERMANY ANGEKUWA BONGO NA VIDINGI VYENYEWE NDIO HIVYO VIKIFIKA BAR VINACHUKUA VIBINTI VYA 18 LABDA HATA ASINGEFIKA HIYO MIAKA ALIYOFIKA MUNGU MLAZE MAMA WA WATU NAAMINI MPAKA ANAKUFA ALIKUWA NA FURAHA NA HUYO BWANA ALIMHUDUMIA MPAKA SIKU YA MWISHO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...