Home
Unlabelled
tonny
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani ni ili kusema tu mtu kaolewa na mzungu vile au?
ReplyDeleteMbona kachoka hivyo? Msitukimbie kaka zenu tupo bado single tu lakini ndio kila siku mnatukataa mnatafuta foreigners?
Asante kwa kutupa taarifa, siku zote nilikuwa natamani wange mleta Miss Tanzania wa kwanza awe kama Presenter kwenye Miss Tanzania, ingekuwa vizuri, bahati mbaya kafariki.
ReplyDeletePili ningeomba utupe pia habari za wana dada hawa naikiwezekana picha zao za sasa, kama kina Tabia Mwanjelwa na Betty Enock,maana sija wa sikia tena. asante!
Tabia Mwanjelwa yuko Bonn Ujerumani, mara ya mwisho nilikutana naye huko 2004.
ReplyDeletewee punda wa juu kabisa unayesema jamaa kachoka huna akili kabisa kwanza humjui jamaa na kumbuka yule mama alikuwa ni mzee tayari (61 yrs) sasa unategemea jamaa yake awe miaka 30...shenzi taipu!
ReplyDeleteanon wa kwanza unaongea kweli, hii noma labda jamaa alikuwa na kisu?
ReplyDeleteila sidhani, ni kuolewa na mzungu tu ili uolewe na mzungu anyways
Ms Tanzania wa kwanza alichaguliwa late 60's early 70's kabla mashindano ya u-'miss' hayajakatazwa, sasa nyie wenye maoni ya kuwa 'partner' wake "kachoka"[yaani mzee!???] mlitegemea aweanaishi na kijana wa miaka 30?Istoshe mbona wanaume kibao [waswahili]wazee wanaoa wasichana wadogo sana kwao na watu hawasemi, au hii ni bias ya kijinsia na reverse racism???
ReplyDeleteMimi namuuunga mkono huyo annoy anayesema huyu mtu kachoka. Na wala si kiumri au nini................
ReplyDeleteIla walivyoeka picha ya marehemu kuna mwanadada alisema mbona siye mastar tunapata wanaume wabaya au tunaachika? Sasa kama watu wakishakua mamiss TZ au mamodel kutoka bongo ni mastar au wanajiita wenyewe star..tuna expect high quality kutokana na maneno yao ya kujiita star.
Huyu mwanaume hata mimi anaweza kunioa kama ningekua sijaolewa na mimi sio star.
Kaka michuzi samahani kuuliza si ujinga huyo baba kwenye picha ni mzungu au zeruzeru maana naona watu wanasema mzungu Michuzi naomba utusaidie.
ReplyDeleteKUPENDEZA YA KIBONGO NI KUWA NA TUMBO KUBWA PERIOD. BABA WA WATU ANAKULA VEGETABLES FRUITS LITTLE OF CARBOHYDRATE ANA UMBO LIMETULIA AT HIS AGE MNASEMA KACHOKA INATIA HURUMA SANA WATZ TUBADILIKE...HALAFU HUYO MAMA BORA HATA ALIKAA NA MZUNGU WAKE GERMANY ANGEKUWA BONGO NA VIDINGI VYENYEWE NDIO HIVYO VIKIFIKA BAR VINACHUKUA VIBINTI VYA 18 LABDA HATA ASINGEFIKA HIYO MIAKA ALIYOFIKA MUNGU MLAZE MAMA WA WATU NAAMINI MPAKA ANAKUFA ALIKUWA NA FURAHA NA HUYO BWANA ALIMHUDUMIA MPAKA SIKU YA MWISHO.
ReplyDelete