Home
Unlabelled
ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hivi hii ni spain nini make hile mitaa ya zaragosa ndipo unaweza kukuta mitaa ya namna hii.
ReplyDeletedu ingekuwa balaa sir issa,wote wangeisha hao,tena kwa manati tu, kitoweo murua kabisa
ReplyDeleteHao njiwa wangeliwa tu! Nyama ya njiwa tamu!
ReplyDeleteUmesahau Bro Michuzi, mpaka mwishoni wa miaka ya themanini walikuwepo kibao hawa njiwa pale sokoni kariakoo, lakini toka lije baa la kunguru wa Zenj (wale wasobaka jeupe) hapajabaki chiriku, njiwa wala wale kunguru wenye baka jeupe, wote wameingia mitini!!!!! Jamaa alodhani eti kuwaleta kunguru wa Zenj wangetusaidia kupunguza uchafu mjini ametuweza kweli, maana wameishia kuwa karaha!!!!!! ~mwiba.
ReplyDeleteBasi Tufuge Bata!
ReplyDelete