Juni 14, 1990: dah! hawa njiwa wangekuwa kariakoo sijui ingekuwaje...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    Michuzi hivi hii ni spain nini make hile mitaa ya zaragosa ndipo unaweza kukuta mitaa ya namna hii.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    du ingekuwa balaa sir issa,wote wangeisha hao,tena kwa manati tu, kitoweo murua kabisa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2007

    Hao njiwa wangeliwa tu! Nyama ya njiwa tamu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2007

    Umesahau Bro Michuzi, mpaka mwishoni wa miaka ya themanini walikuwepo kibao hawa njiwa pale sokoni kariakoo, lakini toka lije baa la kunguru wa Zenj (wale wasobaka jeupe) hapajabaki chiriku, njiwa wala wale kunguru wenye baka jeupe, wote wameingia mitini!!!!! Jamaa alodhani eti kuwaleta kunguru wa Zenj wangetusaidia kupunguza uchafu mjini ametuweza kweli, maana wameishia kuwa karaha!!!!!! ~mwiba.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2007

    Basi Tufuge Bata!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...