
wadau walio uturuki wakiwa kwenye meza ya bongo siku ya maonesho ya wageni wanaoishi nchini humo ambapo bongo ilifunika sana kwa kuvutia watu wengi katika maonesho hayo ambayo yalishirikisha wanafunzi wageni toka nchi takriban 30 za kila pembe ya dunia. toka kulia ni athuman Fuko anayemaliza masomo ya kompyuta mwaka huu, faraji lydenge ambaye yuko mwaka wa tano udaktari na kimbute ambaye pia anamaliza masomo ya elektroniki mwaka huu. hii yote inadhihirisha jinsi wabongo wanavyochakarika ughaibuni katika kupepea bendera yetu juu. hongera wadau...


Wangeonyesha ubwimbwi kwenye banda lao...
ReplyDelete