wanja letu jipya la nesho linavyoonekana kwa nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    Uwiiiiiiiii Dude linatisha!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    Michuzi usiseme kwamba hapo ndio washamaliza itakuwa typical bongolendi yaahi hamna hata lami??!!! i seriously hope its not complete yet.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2007

    i hope hilo barabara la vumbi watatengeneza na kuweka lami safi ya kisasa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2007

    Mi nataka kujua tu kuwa hivi ule mnara wa kumbukumbu ya ndege ya kijeshi iliyoanguka wakati wa Gwaride la Kijeshi mwaka 1979 bado upo pale pembeni; sasa uko kwa ndani ya uwanja; au wameubomoa? Kama wameubomoa si matumizi mabaya ya pesa za umma haya jamani? Mweeh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2007

    Mzizima stadium hilo. safi sana.

    Tumeshakula n'gombe mzima umebaki mkia tu;

    - access road ipigwe lami
    - ijengwe parking ya magari 1,000, isakafiwe lami
    - mkakati endelevu wa uendeshaji wa hilo wanja

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2007

    uwanja wa watu 60 alfu ijengwe parking ya magari 1000 we una akili ama tope! sina mana ijengwe parking ya magari 60 alfu ila 1000 vilevile kidogo sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...