
dah! utadhani wanja letu la neshno kumbe watangazaji wa idhaa ya kiswahili ya bbc saidi yakubu (shoto) na chaaaaaz hilarly nkwanga (duh! watasha wanatamkaje sijui hili jina) wako kwenye wanja la neshno la wembley la ukerewe ambapo man u atapigwa bee mtungi na chelsea jumamosi hii kwenye fainali za fa. mengi zaidi mtembelee www.saidiyakubu.blogspot.com
hata nasisi tutafika hapo siku moja polepole tu.
ReplyDeletena kama tukiweza kuwaleta hao wazungu kuwa slaves tutamaliza mara moja. Unajua majengo mengi babu zetu waliwajengea hawa na wao wapay back waje kwetu kujenaga.
Kama sikosei huyu Said Yakub akiwahi kuwa kiranja mkuu pale Tambaza mwaka 1999/2000.Kwa kweli hakuwa kiongozi mbaya.
ReplyDeleteLiverpool hawamo lakini jamani ama nakosea ?
ReplyDeleteJK