kuna mdau katukaribisha kwenye bethedi yake hapa kesho....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    da hii besdei ilitukia maeneo ya berlin ilikuwa balaa tupu nomaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2007

    Hii besidei imeshakwisha u ndio kesho? Mbona kama uchafu vile? naona hapo sijui ni makaratasi au ni uchafu gani upo kwenye majani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2007

    Duh,wanabahati hamna vagi lililotokea....ingekuwa purukushani tupu!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2007

    Eh kinywaji hicho jamani...jamaa walifaidi sana hao....sio siri lingetokea vagi hapo asingebaki mtu!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2007

    ni ya nani kwani ya kipanya nini????????? hapo ni vilaji kwenda mbele, HAPPY BIRTHDAY TO YEYE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...