wajumbe wa baraza la biashara la mkoa wa dar wakipozi na waziri wa mipango dk. juma ngasongwa (mvi) baada ya kuzinduliwa rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    Huyu polisi hapo nyuma hii issue inamhusu vipi?Akakae kule nje na kirungu kuwakimbiza wamachinga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    huyo polisi hapo nyuma anafanya nini ana kibanda mahala au ndio wafanyabiashara wana tunzwa duuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...