hapa ni katikati ya dar na atayenitajia ni wapi hapa nampa zawadi ya picha yoyote atayoitaka. masharti si mengi. uwe unaishi ughaibuni na ujitambulishe bayana kuondoa utata...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Hapo ni Fire (Dar es Salaam) katika makutano ya barabara za Morogoro, United Nations na Swahili. Hili jengo lipo barabara ya Swahili.

    Tanzanianboy,
    UK (East)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    hapa ni pale kwenye junction ya barabara ya kawawa na morogoro,magomeni karibu na lile kanisa kubwa.mimi naishi kwa joji kichaka district of columbia yaani washington dc,ukitaka kujua kweli angalia muda ninao post hii comment hapa dc ni kama saa 11 na dakika 9 jioni, nataka picha ya uwanja mpya unavyoonekana kwa sasa,au shell pale mburahati kwa kina ivo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    hapo ustadh michuzi ni
    1)makutano ya chang'ombe road na nyerere road
    sijui nimefuka maana miaka 3 sipo bongo sasa,ila misupu nawe umeficha sana majengo ya pembeni,kama nimepatia naomba picha ya bandari ya kigoma ambayo kikwete amesema ataikabarati

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    Mich, hapo ni kwenye makutano ya barabara ya Ilala na..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    HAPO ni traffic lights za FIRE.

    Umepiga picha tokea upande wa shule za sekondari za azania na jangwani,,

    upande wa kushoto ni FIRE
    upande wa kulia ni barabara ya MOROGORO,,unaelekea magomeni kwa michuzi
    kwa mbele ni Dar Young African,,na hiyo Morogoro automobiles wanauza magari hapo,,

    upande wa kushoto pia kuna hiyo SHELI hapo wanuza mafuta..

    NEED I SAY MORE???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Aaah, hapo tu; hapo ni sokoni bwana... pale mtu anayeenda kuuza baiskeli yake anakoelekea!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi hapo ni junction ya faya. Hilo jengo huo upande wa kushoto linatazama kile kituo cha mafuta (na wanauza gesi ya kupikia). Kushoto kwa mpanda baiskeli ni kituo cha zimamoto na pia njia panda ya kuelekea korea culture na jengo la umoja wa vijana. Ile scania pale kushoto inaelekea kukata kwenda magomeni. Kulia kwa mpanda baiskeli ni shule ya sekondari ya wasichana (jangwani girls). Naishi NY, USA (mlima vernon as you called it once).

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi hapo ni junction ya faya. Hilo jengo huo upande wa kushoto linatazama kile kituo cha mafuta (na wanauza gesi ya kupikia). Kushoto kwa mpanda baiskeli ni kituo cha zimamoto na pia njia panda ya kuelekea korea culture na jengo la umoja wa vijana. Ile scania pale kushoto inaelekea kukata kwenda magomeni. Kulia kwa mpanda baiskeli ni shule ya sekondari ya wasichana (jangwani girls). Naishi NY, USA (mlima vernon as you called it once).

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    hapo ni magomeni makutano ya br ya kawawa na br ya morogoro.
    says u r boy from phila.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    WEWE MALAYA WA WASHINGTON DC BOX ZIMEKWISHA? NENDA MERYLAND KUNA FACTORY KIBAO BEBA HADI TANI YAKO, NANI KAKUULIZA KAMA UKO DC. HUKUSOMA SWALI LA MSINGI HAPO KWENYE PICHA USITULETEE NYEGE ZAKO, PELEKA KWA WAMEXCO WAKUSHUGHULIKIE..JIBU SWALI HAPO NI WAPI USIONGEE KAMA MALAYA ALIYE KOSA BWANA!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2007

    Nadhani hapo ni mnazi mmoja, makutano ya uhuru na Lumumba. Nimeondoka Dar miaka kumi na nne iliyopita ninaishi MidWestern USA. Nikishinda nitafutie picha ya yule jamaa wa gitaa la nyuzi dazeni aliyetunga na kuimba marashi ya pemba, nimeshahu jina lake. Nasikia alishafariki, tulikuwa tukinywa naye sana bia za Safari pale ukanda wa Gaza Sinza.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2007

    Hapa ni Kwenye trafic lights, na usipo angalia utagongwa hapo maana watu hawaheshimu taa za barabarani bongo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2007

    Hapo ni makutano barabara ya swahili,morogoro na umoja wa mataifa.Ghorofa liko mkuno wa kulia kama unaenda kariakoo kupitia mtaa wa Swahili,karibu yake kuna yard ya magari. Tony, HOuston,Texas.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2007

    Hapa ni traffic lights za fire,kwa kulia kuna shule ya wasichana ya jangwani kushoto ni fire station.

    Myeji,
    UK(Sheffield)

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2007

    Kuna watu wapo hapo bongo na mitaa hawaijui. Unakaa manzese na kazi ubungo. Mpira huendi, dansa pia. Mji utaujulia wapi? Blackmpingo

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2007

    Naishi U.K kwa mama,nadhani hapo ni makutano ya barara bara ya kawawa na nyerere kuelekea mitaa ya keko.Mimi nipo ukerewe hapa,siku mbili hizi ni mvua tupu na watabiri wamesema itanyesha kwa muda wa siku 5.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 15, 2007

    michuzi hapa ni downtown Bukoba maeneo ya Katerero.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 15, 2007

    hapa naona ni mashindano ya kujitangaza mko wapi?mbona mwaficha majina yenu basi oh niko uk or america mmeulizwa.Nye wanafunzi au maana naona hamuelewi instructions sijui manafanya vipi mtihani yenu huko mliko kama mnavyotangaza.Acheni misifa haipendezi mnaboaaaaaa sometimes!!!!ah

    ReplyDelete
  19. Michuzi,

    Mimi naishi Colchester, UK. Nimefanya hivi mapema ili iwe rahisi sana kujua wapi nilipo wakati utakapoamua kunipa zawadi yangu maana hapa nimeshinda mimi. Jibu sahihi na la kwanza kabisa.

    Ukitaka ushahidi basi unaweza hata kuniuliza kwa email yangu (ya gmail), user id hiyo hapo.

    Thank you in advance.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 15, 2007

    lol wabongo kibao mmechemsha, faya faya, hamna kitu. bwa michuzi hapa ni magomeni mapipa...michuzi niletee Mburahati National Housing karibu na house number 504

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi,
    Hapa ni Pugu road kona ya kwenda Chang'ombe..
    Unajua huyu nani sina la kusema zaidi.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 15, 2007

    Hapo ni magomeni sokoni karibu na hospital,ukivuka barabara kuna msikiti.
    Naitwa Mcanya nipo UK London u wanna proooof... check time mate...init?(21.15)Hey mzee michuzi kama nikishinda naomba ukanipigie picha ya CCM KWA TUMBO-TANDALE na mwenye kiti wake wa zamani mzee DUWA kama yupo Hai.CHIAZ MATE.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 16, 2007

    Nimejaribu kuwa hapo ni makutano ya Uhuru na Lumumba lakini naona kuwa nimenoa. Nimetoka bongo muda mrefu sana kabla hayo magorofa ya Dar hayajaanza kujengwa.

    Michuzi, hata kama nikilamba mchanga kwa karai kweli, bado naomba uniwekee picha ya yule jamaa na kombora la nyuzi dazeni kweli. Jamaa huyu aliimba wimbo wa marashi ya pemba kwetu na sitamsahahu kwqeli. Nadhani alikuwa akiitwa King Sheba superior Sheba hivi ingawa jina lake limenitoka sasa. Nakumbuka tulivyokuwa tunakunywa safari pamoja naye pale sinza ukanda wa gaza akiwa na Mark II-Grande yake ya brown.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 16, 2007

    Hapo ni makutano ya morogoro road na bibi titi hilo jengo linatazamana na dar tech hii picha umeipigia kwenye jengo la la akiba...
    sorry jamani kama nawaboa ila nilivyoelewa michu anataka kujua ulipo so sina cha kufanya zaidi ya kupataja
    nipo catford - london

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 16, 2007

    HAPO NI NJIA YA PANDA YA MBAGALA RANGI TATU, MBANDE NA KIBONDE MAJI...MWISHO WA YOTE. MNAJIFANYA MNAJUA ETI OOOH, MNAZI MMOJA, MARA OOH, MAGOMENI. WOTE MMEKOSA. KUMBE MNAJIFANYA WAJANJA KUISHI UGHAIBUNI WAKATI YALIYO BONGO HAMYAJUI....WOTE MMEKOSA. ALAMSIKI, WENU MICHUZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...