Home
Unlabelled
champeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu, tatizo ni ndugu zangu Watanzania, champagne ikimwagika ndio wanaona mtu anajua sana kufungua chupa hizo, hawaelewi kuwa kuna tukio na tukio la kumwaga champagne, na pia sio kumwagika kama wataalam wengi wamwagavyo, huwa ina style yake ee baba..., kama ni for car rally, football championship, thats understandable kumwaga BAADA ya kuifungua
ReplyDeleteMimi nafikiri kisailensa ndo user friendly pasipo kuwepo na wastage of resources. Ingawaje hiyo poooooooooow inaonekana kama fashion kwa wale wasiopenda kubadilika, lakini watu wengi hawa-maindishi hiyo wastage style. Hayo mambo ya poooooow tuwaachie formula one akina ALLONSO na BUTTON
ReplyDeleteMichuzi tupe uzoefu wako kwani umeshahudhuria sherehe nyingi ingawa hulipi kiingilio bali camera yako ndo kiingilio chenyewe.
Kumwaga siyo lazima, kuzibua kwa mlio ni poa, ila mimi huwa inaniuma sana kuona yooote inaishia chini, mgeni rasmi anaambulia nusu glasi! noma zaidi ni pale mnapoambiwa kuwa eti kuna chupa moja tuuu
ReplyDeleteraha ya champagne kwa mwafrika ni ule utumwa wa kiakili unaoambatana na wazo zima la kunywa na kumwaga champagne
ReplyDeleteKumwagika ama kutomwagika inategemea na shughuli inayosheherekewa. Kama unasheherekea ushindi basi kumwaga inakubalika. Lakini kama ni harusi ama shughuli nyingine kama hizo basi kumwaga haikubaliki.
ReplyDeleteKatika mila za wachaga huwa wanapenda kumwaga mbege na kinywaji chochote kile wakisema kuwa wanawapa wazee waliowatangulia. Kwa hiyo wao wanaweza kuendelea kumwaga huyo shampeini.
Yote hii ni utumwa wa fikra. hizi mila sio zetu ni mambo ya kuiga.
ReplyDeleteso kumwaga au kutomwagika sio issue.
Kwani Mbege na Kangara huwa zinamwagika. Mimi najua ktk matambika kumwaga kinywaji ndio sehemu ya tambiko. Sasa mimi nashangaa watu kumwaga 'kilaji' ktk Sherehe as if wapo ktk tambiko. ni mkanganyikoa ambao inabidi uondolewe.