Home
Unlabelled
dc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WHAT A PRETTY WOMAN WOW!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAnaonekana pia ana roho nzuri sana!
ReplyDeleteSijui nikiomba transfer ya kwenda rushoto ntapata???
ReplyDeleteWaliosema Mja asili haachi asili yake na nature ni nature tu, hebu cheki magold hayo. Sasa hivi ndio mama zetu na dada zetu wanapenda, haijalishi we ni mnani. Je we are equal but not the same. Mhh nisije tupiwa madongo na TGNP bure mi ni gender balance na nimefundishwa DS Gender issue pale UD na kina mama mbilinyi(prof. marjorie), hawa wakikupiga shule lazima ujione kuwa you are all equal, but not the same.
ReplyDeletei dont mean to disrespect you but i just want to know if you are still single, if you are, please let me know through this blog and i will be right there for you. thank you in advance
ReplyDeletemmh, dada Sophia 'm Happy to c u as a Mkuu wa Wilaya(Lushoto). Umejitahidi dada angu.
ReplyDeleteJIRANI YAKO wa East-Upanga, Waa waa!!!
Anon wa 12:31, umenifumbua macho, Kumbe alikuwa ANAKALIA UPANGA??, ndio maana anaonekana cute na mkarimu sana, CCM Oyeee
ReplyDeletePius, huyo alikua mke wa mtu sijui kwa sasa.Hongera sana Sofii
ReplyDeleteAlikua kiongozi toka mdogo huyu. Mambo ya girl guide alikua kiongozi pia kama sitakosea, na uzuri wake haukuanza leo...Uzuri wa sura anao na moyo wake pia mzuri zaidi.
ReplyDeleteKuna watu wengine wamejaliwa vyote
Hongera dada Sophia. Uongozi uliuanza siku nyingi tangu tukiwa Muhimbili Primary School miaka mingi iliyopita!`Kipaji na uwezo wa kuongoza unao! Hongera sana na I'm really happy for you! Ni kweli dada Sophia is as kind at heart na mrembo kama anavyoonekana!
ReplyDeleteTutamwomba Lundenga aandae mashindano ya uremba ya wakuu wa wilaya akina mama itakayeitwa "Miss DC Tanzania"
ReplyDeleteHuyo dc na hakika atachukua taji hilo!!
Unajua unapokuwa kiongozi wa ngazi fulani kwenye jamii kama hii ya ukuu wa wilaya unakuwa ni "public figure", kila mtu anakuangalia na unapaswa kufanya kila jambo lako kwa kiasi, not to extremes. Hata wazungu wamesema "too much of everything is harmful"
ReplyDeleteHaya sasa nambie huo wanja ulivyojaa huko kwenye nyusi ndo nini? Na hiyo migold yote ya nini? Khaa!
Hebu nijinyamazie mie.
dada sophy wewe ni mzuri sana na huo wanja ndio wenyewe haswa unaotakiwa,hako kamdomo kalivyojaa aisee ni mzuri!na kuhusu dhahabu we vaa hata kama unazompaka wapi vaa ambae anasema zimezidi ujue hana na anzitamani mh wape pole!ni mzuri sana wewe angalia hao viongozi wenzio wasije kukutamani wakakuaribia sifa mh na ukiingia bungeni wewe mh hawakuachi!
ReplyDeleteWe Perez kama kawaida lazima uzogoe, kila shughuli ina uvaaji wake, nenda kamtembelee ofisini kwake utamkuta tofauti na hapo anavyoonekana. Tusikariri mambo jamani, hawa waheshimiwa wana appear kutokana na shughuli yenyewe, ndo maana unaweza kumkuta Mkuu wa nchi kavishwa lubega (vazi la kimasai) katika shughuli ya kimasai. Lets not discuss people, lets discuss ideas!
ReplyDeletePerez, mmmmmmmmmm, watu watakung'ang'ania lakini una kijipoint hapo.....!
ReplyDelete"Presidential appointee"
ReplyDeletemzuri, mzuriii...kwani analiwa nyama?
ReplyDeletetoeni maoni ya kujenga ebo!! mara oo umeolewa?? wakina pius mna matatizo gani? kila pius ninayekutana nae akili yake hivi hivi. michuzi ebu tutafutie mtaalimu wa nyote atufafanulie jina la pius lina balaa gani... unataka hadi vya wakubwa bwana. hujui kuwa hii mali ya jk? utajungwa!!
We anoy wa 1.10 am "umeisha sema alikuwa mke wa mtu, sijui sasa"
ReplyDeletehuoni kwamba ume-conclude that is is separated or something like that.
Ungesema kaolewa tungejua ana ndoa,
So naona Umwache Pius wa watu ajaribu, na Lushoto sio mbali anaweza kwenda kule akaomba kumuona DC kama Mjasiamari anayetaka kuwekeza huko Ushoto, na ku-create employment.
labda awe anatoka mwanza au Kanyigo, au Chigoma,Mugumu lakini kwa ninavyo wajua watu wa huko wakiona Mtoto mweupe namna ile ahh ushoto ni karibu.
we anony hapo juu wewe unasema hii ni mali ya jk!!!jamani huyu jk anao wangapi maana kila kiongozi mzuri wa kike ni wa jk jamani nyie watu huyu ni mwanadamu wa aina gani mpaka kila mtu awe wake ongeeni point bwana
ReplyDeleteila huyu mdada ana dada yake ameolewa na mheshimiwa mmoja meya mh huyo dada anaringa mpaka mdomo wake umevutika kwa kuringa,maringo mh!sophy mwambie dada apunguze maringo
ReplyDeleteJamani mimi naomba kuuliza...nadhani social studies ilinipiga mweleka...
ReplyDeletemkuu wa wilaya anakuwa elected au appointed...Na kama ni sio elected by the citizens nani appoint? Ni mkuu wa mkoa anachagua au ni nani ana madaraka hayo?
Kuna link yeyote ya bongo ya govt inayoelezea muundo wa Govt yetu?
Ningependa kama mtu anajua link yeyote kwani ningefurahi kujua zaidi Muundo wa Govt na insititutions zake
Shule ya Msingi Olympio mwaka 1974 mpaka 1978. Wanaowakumbuka waliokuwa darasa hilo hebu watajeni?
ReplyDeleteWasukuma hatuna la kupinga, ni MZURI (mweupe) SANA
ReplyDeletehApA hAtUtAnGaZi UzUrI, kAzI aNaFaNyA iNaVyOtAkIwA?
ReplyDeleteWATANZANIA BWANA TAMAA NYINGI NDIYO MAANA UKIMWI UNATUUWA KAMA KUKU VIFARANGA.WALIO PIGWA MDONDO.....HUYU AUNT MBONA WA KAWAIDA SANA MIE SIJAONA CHA ZAIDI HAPO KUONDOA WANAVYODAI KUWA MKALIMU HIYO NI PERFECT QUALITY KWA MWANAMKE OTHERWISE NI WA KAWAIDA.
ReplyDeleteHIYO RANGI WANAYO WAMACHAME KIBAO WASIO NA VIATU LAKINI HAKUNA ANAYEWAJALI... SASA LEO MMEMSHIKIA BANGO MAMA WA WATU...MBONA BEYONCE HAMSEMI?????? AU FLAVIANI ALIYE WAPANDISHIA CHATI.....KITUNZE KITADUMU NA KIPENDE KITAPENDEZA...(TAFUTENI VYA KWENU)
MKEREKETWA UGHAIBUNI///
Sir Issa "..NAONA ISSA ULIPEWA TABASAMU LA NGUVU KAKA.." PICHA INAPENDEZA....HIVI HAWA WAHISHIMIWA WANATEULIWA/CHAGULIWA NA RAISI..JK..INAELEKEA MUUNGWANA HUYU NA MCHAPAKAZI..SAFI SANA
ReplyDeleteOLYPIO 1974 TO 1978 CLASS(A)BIG NAMES WAMESOMA NA SOPHIAWAKIWAME FIDELIS TUNGARAZA, JOHN NGALABA RUPIA,ANDREW MUHAZI ,SHASHU MAHIMBO VICKY GONDWE MARIAM KWETUKIA ,ROES NKUZU WHERE ARE YOU ALL YOU NICE PEOPLE
ReplyDeleteSophia hongera sana,sikukutegemea kwenye siasa japo toka enzi za Upanga ulikuwa mstari wa mbele,shuleni,girlguide nk.
ReplyDeleteHuyo anayesema dadako anaringa ana wivu au hamjui vyema,sisi tuliosoma na kukua nae tunajua ni mtu asiyepoteza muda kusema watu vibaya.Wote nyie watatu ni watu wastaarabu sana.
Go Sophia!!