mabinti wa kifungilo waliburudisha kwa kwaya maridadi iliyojaa nyimbo za maudhui juu ya hatari ya ngoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    Hahahahaa Yaani Michuzi umenikumbusha mbali sana na uniforma zetu za Kifungilo...I think it's about time kufanya Kifungilo Reunion ikiwezekana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    REUNION WILL BE GREAT!!! Si mnakumbuka ule mwimbo, "na Milimaaa haikutani na milimaaa haikutani bali biandamu ukutana jama talatalnt atalatalnta, bali binadamu ukutana jama. Au imeeefika sikuu ya kuagana na wenzetu hatukuja kama itafika siku ya leo, kwahelini tutaonanna mola akiipenda" Reunion wana Fede.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    Count me on reunion pia....somebody need to come up awe incharge of this stuff.I can't wait aisee.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2007

    Tulenge tulenge juuuu...kifungilo holds a special place in my heart. regardless of shuruba na kukimbizana na madada...the place has molded most of us into the people we have become today. Reunion sounds like a great idea...someone needs to get the ball rollin and work on this idea!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2007

    GOOD MAY BE I WILL COME UP WIH SOMETHING KEEP INTOUCH IN COUPLE DAYS

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2007

    nyie mnaosema someone needs to get the ball rolling kwanini msianze nyie??? You have the idea then implement it! maana watu wanapenda kuongea alafu yanaishia hapo. You have an idea then go on, put it into action! ni maoni tu jamani!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2007

    "the place has molded most of us into the people we have become today"

    kama shule ndio imewamold hivyo basi tabu...Mimi labda nina bahati mbaya lakini wasichana ninaowajua waliomaliza Kifungilo wengi wanayodo kweli...I don't why...wajisikia sana tu..

    They don't cook my brain

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2007

    Wapendwa,
    Naomba mfungue under subject MKUU, kuna Kifungilo members tayari wanakutana na wana ideas nzuri sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2007

    Asante sana kaka michuzi, kweli machozi yamenitoka kuona picha hii, imenikumbusha sana Kifungilo, shule yangu ambayo sitaisahau milele, niko Canada lakini I still have a lot of love for this school,imenifunindisha mengi na kunikutanisha na wapendwa wengi, Reunion is a great idea, sina uhakika kama nitahudhuria lakini my memories and lot's of love will always be there, "Na tulenge Juu guys" love all of you Kifungilo mates.
    Love,
    Maggie

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2007

    yaani nimeona hizo sketi nimekumbuka kweli kifungilo mh sister fidesta ha ha you are a swahili speaker!hao wanaosema kifungilo students wanaringa mh labda ni baadhi lakini waringe nini wakati wamelima kule na kubeba mbolea kwa sana cha kuringa ni kipi?REUNION NI MUHIMU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...