kasaloo kyanga (kati) na pacha wake kyanga songa kulia) wakiwa na nyota wengine wa tancut almasi ya iringa, wana fimbo lugoda. wa pili shoto ni abdul salvador a.k.a key-devu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    kaka Michuzi
    kwakweli umetugusa tulio wengi hasa baada ya kuwaanika hao mangala dance, binafsi umenikumbusha mbali saaaana iringa Tancut club kuna wakati ilibidi nisafiri kwenda Iringa kuwaona hao jamaa wazee wa kinyekinye kisonzo, Livangara, na mangara dance mie nadhani ndio bendi pekee iliyokuwa ikitokea mkoani na ikija dar inajaza ile mbaya nani atabisha hapo

    najua hao mapacha kuna marehemu hebu tupe nyeti kama unazo
    Kiongozi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    mmoja kati ya hawa mapacha amefariki,au nakosea?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2007

    Kaka Michu umenigusa Mwanangu! Umenikumbusha enzi zetu hizo.
    Kaka naomba kama wewe au mwana bulogi hii yoyote mwenye ule wimbo wa "Ninakwedaa safari.., safafi yenyewe ya masafa marefu... Ninajuaaa Mama utabakiii watasema mengi pia wabaya wetu mamaa watafurahii.." hebu aniambie jinsi nitakavyoupata jamani.
    Kaka umenikumbusha mbali sanaana.

    ReplyDelete
  4. Micho sory Michu hivi ni Kyanga Songa ama Kasaloo Kyanga ndio marehemu. Kumbukumbu finyu zangu zaniambia ni Kyanga. Na huyo aliyesalia anaishi Nairobi sasa au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...