mapaparazi wa bongo tukiwa na komandoo ikulu zenj tulipokwenda kumwamkia. toka shoto ni emmanuel kwitema, mie abubakar liongo, komandoo, francis lucas, mzee stephen rweikiza. kati ni john ngahyoma, farough karim 'zizu', francis chirwa, johnson mbwambo, shimye ahmed (marehemu). nyuma kuna ali mwinyikai, john bwire juu kabisa na hao nimesahau majina. ilikuwa mwaka 1993

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    mmh mheshimiwa michuzi kumbe kabla ya 2000 ulikuwa umechoka?
    dah? huyu liongo ni mtangazaji wa michezo mzuri sana,lakini aliwekewa fitina idhaa flani ya kibinafsi,na alie msubstitute kwenye idhaa hiyo akawa anamuiga mpaka sauti(adios amigoooooo),eti baada ya muda mfupi tu,huyo jamaa aliemgezea akawa mtangazaji bora wa michezo kwa mwaka huo,mmh hiyo ndo bongo,
    Kamtu-Chui

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2007

    Michuzi ulikuwa umepigika sio mchezo, mpo na KamaNdoo Salimuni Amri naona...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...