wadau wanazidi kudhoofisha klabu ya mabachela kila kukicha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    MICHU WHERE ARE OUR COMMENTS???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Hawa maharusi wamependeza/mmependeza. Lakini mbona Michuzi kawabania majina yao? Sio vizuri. Tunaomba tuwafajhamu hata kwa jina moja.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2007

    MICHUZI,
    Kama picha zingine hutaki watu wa-comment,husiziweke basi. Au uandike chini ya picha kwamba hairuhusiwi kutoa maoni.
    Maana huu upuuzi sasa, watu tunapoteza muda wetu kuandika..bila lugha ya matusi.
    Na hii usiitoe.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2007

    Former Senior Bachelors

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2007

    I like the bibi arusi's hairdo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2007

    NASAPOTI ANONY HAPO JUU.
    MICHUZI ANATABIA MBAYA YA KUMINYIA MAONI MENGINE TUNATOA HAPOSTI, NOMA SANA HUYU KAKA, MAANA YA BLOG NI NINI?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2007

    Hawa ni Mr and Mrs Moshiro.
    Hongera sana kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...