soko letu la kariakoo limevalishwa joho - kwa hisani ya koka....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2007

    Duh! mbona hilo joho linaonekana kama vinasambalimbali kwenye kanivo huko Brazil!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    basi hayo mavitambaa yataachwa hapo miaka hawata change halafu yakiisha yatachanika na kuharibu show ya hiyo building, wana mwanzo tu mwisho hawana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    ningeshukuru zaidi wangeli powerwash soko zima

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2007

    Sir Issa HILI SOKO TUMEACHIWA URITHI MPAKA LEO NINAUHAKIKA KUTAKUWA NA MPANGO WA KIJENGA JINGINE NJE KIDOGO YA MJI...URITHI MZURI KAKA.."COCA COLA WAMELIPIA TANGAZO AU"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...