
judith wambura isambai mbibo a.k.a lady jay dee a.k. jide anaendeleza libeneke na bendi yake ya machozi kila ijumaa kama ya leo kwa kutumbuiza kwenye ukumbi wa ruaha kuanzia saa 12 hadi saa sita. kwa mujibu wa wadau waliofika mahala hapo kijiwe kimeanza kuchanganya taratiiiibu na leo inasemekana patawaka moto kwani ni bethdei ya jide. kwa ufafanuzi huu ukumbi umo ndani ya naitiklabu ya jj blue kinondoni
A good idea from Jide...ni macho yangu au ni mwenyewe...i think ameongezeka au kwa maneno mengine amenenepa
ReplyDeleteWhat a strange looking outfit. Kihindi, hawaiian, african mix.
ReplyDeletejide hako ka mguu hata supu hakana mwe
ReplyDelete