Home
Unlabelled
jinazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michizi usituzuge ile picha ya mishangingi mbona umeitoa.sisi bado hatujamaliza kusasambua,tuekee tuzidi kurusha mawe.
ReplyDeletehili jina acceptable kabisa,
ReplyDeletesasa linasomeka waziiiiiiii,michuzi ubarikiwe sana,sasa bado timu ya taifa,tunataka jina endelevu,siyo mara Blair boys,mara bush boys
Tanzania National MAIN (?) Stadium? Kuna nyingine ambayo ni Annex au sub-stadium? Naona kama repetition vile...
ReplyDeleteHa ha ha ha bora tuwaite Michuzi boys kuliko Bush boys, nadhani bro michuzi na wadau wote watakubali
ReplyDeleteWakuu mlioko motherland ni kweli Mh Chifupa anaimumwa?
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona uwanja huu haukuitwa Mkapa bla bla bla kwa lipi alilolifanya?
ReplyDeleteUamuzi mzuri, Hongera!!!
kweli brother Michu tunaomba uturudishie yale mangingi tutoe maoni yetu maana hatujamaliza kabisa
ReplyDeleteSasa maandishi hayo ya kiingereza ni kwa ajili ya nani hasa?!? hata hao wazungu watatuona si wapumbavu sana kutaka kung'ang'ania lugha yao utafikiri hatuna zetu! kwani kikitumika kiswahili hapo huo uwanja utharibika?!? ama kweli nchi hii inaharibika na taifa linakosa 'kujiamini'! Mungu ibariki tanzania na watu wake!
ReplyDeletewe anon wa 8;31 hutumii akili mbona lugha ya kingereza inatumika tangu hujazaliwa!
ReplyDeletekama michuzi alivyoandika hapo chini post your comment badala ya tuma maoni yako , nadhani ni kosa kubwa uwanja huo kuuita national stadium badala ya uwanja wa taifa... kama tunataka kuitangaza lugha yetu kwa nini bado tunaona aibu kutumia lugha ya taifa kwenye mambo ya msingi? chonde chonde jamani uwanja huo utambulishwe kwa kiswahili...
ReplyDeletejina ilibidi liwe TANZANIA NATIONAL STADIUM hiyo MAIN ya nini? au uitwe UWANJA WA TAIFA basi
ReplyDeleteDuh, eti national'MAIN' stadium... jama jama, sio mchemko huu?.. kwanini wasiuite tu "UWANJA MKUU WA TAIFA" kwa kiswahili tukaelewa... pia wakaongeza maneno ya kiinglish kwa herufi ndogo zaidi hapo chini yake?!...
ReplyDeletePamoja na kazi yao nzuri waliyoifanya ya ujenzi, cha kusikitisha unaweza ukakuta kuwa wasimamizi waliwategemea Wachina hao hao hata kutunga hiyo sentensi ya jina la uwanja!!
Mimi kwa mawazo yangu wangeuita Dar es Salaamu Uwanja wa taifa. Hii inamaana hamna uwanja mwingine utajengwa nchini kabisa hata miaka 20 ijayo. Wakijenga dodoma nao national au uwanja wa mwanza ungeitwa tanzania national stadium sijui huu ungeitwaje. Wale walifikiria na kujua mika ijayo utakuja kujengwa mwingine. Na hawawangefikiria hivyo
ReplyDeletena pia tukienzi kilugha chetu wangeandika kiswahili
naomba kuwakilisha.
bila shaka, imejengwa na wachina. Inanfanana na pagoda. Iko chinatown au wapi?
ReplyDeleteKwanini isiwe Tanzania National Stadium?? Why the MAIN?
ReplyDeleteLee
Tunashukuru sana kwa juhudi za Sirikali kutupatia uwanja huu na kuongeza "AJIRA" kwa watanzania.Wewe June 23, 2007 10:13:00 AM EAT tunazungumzia jina la uwanja na sio kiingereza au kiswahili kilianza lini na mwezio katoa wazo zuri tu tafuta mbinu nyingine za kulinda kibarua chako Pu%&^$#@fu we. UWANJA WA TAIFA , UWANJA MKUU WA TAIFA na kama mnahitaji kutumia lugha ya kigeni basi tumieni TANZANIA NATIONAL STADIUM.Halafu hakikisheni maelekezo ya humo ndani yawe lugha ya kiingereza na kiswahili.e.g RESTAURANT / MGAHAWA --->
ReplyDeletewewe nyangumi hapo juu JUNE;24,2007 10;58 kwanini hupendi lugha yakoOO!! unaruka mkojo na kukanyaga mavi,kwanini tutangulize kiingereza then kiswahili kama watataka maelezo basi yawe hivi MGAHAWA/RESTAURANT,kwanini tuwape kipaumbele wazungu wakati wao kwene mauwanja yao hata hawaongei kiswahili,mtu kwao bwana kila mtu aweke utaifa wake mbele bwana! p';/]fuuuu,nisisikie tena huo upuuzi wako.
ReplyDeleteAksante sana dada JUNE;24,2007 10;58 kwa marekebisho mazuri..Mungu akusaidie.
ReplyDeleteAksante sana dada JUNE;24,2007 10;58 kwa marekebisho mazuri..Mungu akusaidie.
ReplyDelete