wadau wameomba waone jina la wanja letu la neshno kwa karibu. ila sina uhakika kama hii ni danganya toto ama vipi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2007

    Michizi usituzuge ile picha ya mishangingi mbona umeitoa.sisi bado hatujamaliza kusasambua,tuekee tuzidi kurusha mawe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2007

    hili jina acceptable kabisa,
    sasa linasomeka waziiiiiiii,michuzi ubarikiwe sana,sasa bado timu ya taifa,tunataka jina endelevu,siyo mara Blair boys,mara bush boys

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2007

    Tanzania National MAIN (?) Stadium? Kuna nyingine ambayo ni Annex au sub-stadium? Naona kama repetition vile...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2007

    Ha ha ha ha bora tuwaite Michuzi boys kuliko Bush boys, nadhani bro michuzi na wadau wote watakubali

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2007

    Wakuu mlioko motherland ni kweli Mh Chifupa anaimumwa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2007

    Nimefurahi sana kuona uwanja huu haukuitwa Mkapa bla bla bla kwa lipi alilolifanya?
    Uamuzi mzuri, Hongera!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2007

    kweli brother Michu tunaomba uturudishie yale mangingi tutoe maoni yetu maana hatujamaliza kabisa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2007

    Sasa maandishi hayo ya kiingereza ni kwa ajili ya nani hasa?!? hata hao wazungu watatuona si wapumbavu sana kutaka kung'ang'ania lugha yao utafikiri hatuna zetu! kwani kikitumika kiswahili hapo huo uwanja utharibika?!? ama kweli nchi hii inaharibika na taifa linakosa 'kujiamini'! Mungu ibariki tanzania na watu wake!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 23, 2007

    we anon wa 8;31 hutumii akili mbona lugha ya kingereza inatumika tangu hujazaliwa!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2007

    kama michuzi alivyoandika hapo chini post your comment badala ya tuma maoni yako , nadhani ni kosa kubwa uwanja huo kuuita national stadium badala ya uwanja wa taifa... kama tunataka kuitangaza lugha yetu kwa nini bado tunaona aibu kutumia lugha ya taifa kwenye mambo ya msingi? chonde chonde jamani uwanja huo utambulishwe kwa kiswahili...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 23, 2007

    jina ilibidi liwe TANZANIA NATIONAL STADIUM hiyo MAIN ya nini? au uitwe UWANJA WA TAIFA basi

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2007

    Duh, eti national'MAIN' stadium... jama jama, sio mchemko huu?.. kwanini wasiuite tu "UWANJA MKUU WA TAIFA" kwa kiswahili tukaelewa... pia wakaongeza maneno ya kiinglish kwa herufi ndogo zaidi hapo chini yake?!...

    Pamoja na kazi yao nzuri waliyoifanya ya ujenzi, cha kusikitisha unaweza ukakuta kuwa wasimamizi waliwategemea Wachina hao hao hata kutunga hiyo sentensi ya jina la uwanja!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 23, 2007

    Mimi kwa mawazo yangu wangeuita Dar es Salaamu Uwanja wa taifa. Hii inamaana hamna uwanja mwingine utajengwa nchini kabisa hata miaka 20 ijayo. Wakijenga dodoma nao national au uwanja wa mwanza ungeitwa tanzania national stadium sijui huu ungeitwaje. Wale walifikiria na kujua mika ijayo utakuja kujengwa mwingine. Na hawawangefikiria hivyo

    na pia tukienzi kilugha chetu wangeandika kiswahili

    naomba kuwakilisha.

    ReplyDelete
  14. bila shaka, imejengwa na wachina. Inanfanana na pagoda. Iko chinatown au wapi?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 24, 2007

    Kwanini isiwe Tanzania National Stadium?? Why the MAIN?

    Lee

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 24, 2007

    Tunashukuru sana kwa juhudi za Sirikali kutupatia uwanja huu na kuongeza "AJIRA" kwa watanzania.Wewe June 23, 2007 10:13:00 AM EAT tunazungumzia jina la uwanja na sio kiingereza au kiswahili kilianza lini na mwezio katoa wazo zuri tu tafuta mbinu nyingine za kulinda kibarua chako Pu%&^$#@fu we. UWANJA WA TAIFA , UWANJA MKUU WA TAIFA na kama mnahitaji kutumia lugha ya kigeni basi tumieni TANZANIA NATIONAL STADIUM.Halafu hakikisheni maelekezo ya humo ndani yawe lugha ya kiingereza na kiswahili.e.g RESTAURANT / MGAHAWA --->

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 26, 2007

    wewe nyangumi hapo juu JUNE;24,2007 10;58 kwanini hupendi lugha yakoOO!! unaruka mkojo na kukanyaga mavi,kwanini tutangulize kiingereza then kiswahili kama watataka maelezo basi yawe hivi MGAHAWA/RESTAURANT,kwanini tuwape kipaumbele wazungu wakati wao kwene mauwanja yao hata hawaongei kiswahili,mtu kwao bwana kila mtu aweke utaifa wake mbele bwana! p';/]fuuuu,nisisikie tena huo upuuzi wako.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 29, 2007

    Aksante sana dada JUNE;24,2007 10;58 kwa marekebisho mazuri..Mungu akusaidie.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 29, 2007

    Aksante sana dada JUNE;24,2007 10;58 kwa marekebisho mazuri..Mungu akusaidie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...