Home
Unlabelled
kandoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo ni Kandoro si Khatib. Naona kalamu imeteleza kidogo Michuzi! Asante kwa mapicha mazuri ya mapokezi ya timu yetu ya taifa.
ReplyDeletemjengwa hapo juu,unaonekana unatoka kama si kintinku maeneo ya sengida basi itakuwa tanangozi kule songea,au buzebazeba au kazura mimba kule kigoma,huyo alionyoosha mikono ndo kandoro mwenyewe,
ReplyDeleteKamtu-Chui/Paris
wewe mjengwa vipi Iringa wamekuchanganya nini huyo aliyenyoosha mkono ni Kandoro mwenyewe yaani unataka kuonyesha michuzi hamfahamu mkuu wake wa mkoa wakati wanachezaga wote kila kukicha Big up michuzi hakuna kama wewe
ReplyDeleteMa-anon wawili chini ya Mjengwa,
ReplyDeleteMjengwa kasema "huyo ni Kandoro si Khatib". Sasa kakosea wapi? Mbona mna-attack personality yake bila sababu?
Michuzi ndio aliechapia aliposema huyo ni Khatib. Masela msijenge chuki jamani!
sasa huyo mshikaji alonyosha mkono juu,ndo kusema anakumbukia enzi zake alipokuwa "trafiki" au hakuona bongoman alivyopokelewa bongo?
ReplyDeleteNdo mana Michuzi huwa anatuonyesha mishimo ilojazana kwenye eneo lako la kazi!
wee tanzanianboy embu soma tena maelezo ya michuzi yupo sahihi hajachapia kitu sasa kama wewe unazani watu wanamshusha mjengwa umechemsha kabisa rudia kusoma tena na hamna mtu anayejenga chuki yoyote kwanza ili iweje
ReplyDelete