waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatib aliongoza mapokezi hayo akisaidiana na mkuu wa mkoa wa dar mh. abbas kandoro anayeionesha mkono huku nyuma yake dk. ramadhani dau ambaye ni mmoja wa viongozi wa kamati ya staaz ishinde akishuka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo ni Kandoro si Khatib. Naona kalamu imeteleza kidogo Michuzi! Asante kwa mapicha mazuri ya mapokezi ya timu yetu ya taifa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2007

    mjengwa hapo juu,unaonekana unatoka kama si kintinku maeneo ya sengida basi itakuwa tanangozi kule songea,au buzebazeba au kazura mimba kule kigoma,huyo alionyoosha mikono ndo kandoro mwenyewe,
    Kamtu-Chui/Paris

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2007

    wewe mjengwa vipi Iringa wamekuchanganya nini huyo aliyenyoosha mkono ni Kandoro mwenyewe yaani unataka kuonyesha michuzi hamfahamu mkuu wake wa mkoa wakati wanachezaga wote kila kukicha Big up michuzi hakuna kama wewe

    ReplyDelete
  4. Ma-anon wawili chini ya Mjengwa,

    Mjengwa kasema "huyo ni Kandoro si Khatib". Sasa kakosea wapi? Mbona mna-attack personality yake bila sababu?

    Michuzi ndio aliechapia aliposema huyo ni Khatib. Masela msijenge chuki jamani!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2007

    sasa huyo mshikaji alonyosha mkono juu,ndo kusema anakumbukia enzi zake alipokuwa "trafiki" au hakuona bongoman alivyopokelewa bongo?
    Ndo mana Michuzi huwa anatuonyesha mishimo ilojazana kwenye eneo lako la kazi!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2007

    wee tanzanianboy embu soma tena maelezo ya michuzi yupo sahihi hajachapia kitu sasa kama wewe unazani watu wanamshusha mjengwa umechemsha kabisa rudia kusoma tena na hamna mtu anayejenga chuki yoyote kwanza ili iweje

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...