huyu ndiye ali kiba msanii aliyechipukia ghafla kwa kibao chake maridhawa cha sinderella. atakuwepo free time resort kwenye miss ukonga kutumbuiza jumamosi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    dogo umejitahidi kibao chako cha cinderella sio mchezo,kwani kinatamba mpaka uk hasa northampton.BIG UP.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    Lakini mbona kuna kijana kaenda mahakamani akidai huyu bwanaa wimbo alikwiba-- yaani hajatunga yeye. Ebu Michuzi fuatilia na tupe nyepesi kwani kuna watu kutumia migongo ya watu wengine kupanda chati.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    kajamaa kamedindisha

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    Mhh mie naona nyimbo za huyu Ali, MB dog , na matonya sijui aliyeimba vaileti zinarandana kimidundo so wabadilishe styel siokuigana igana sa nyingine nadhani ni Mb god kumbe Aly heheheh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...