
huyu ndiye ali kiba msanii aliyechipukia ghafla kwa kibao chake maridhawa cha sinderella. atakuwepo free time resort kwenye miss ukonga kutumbuiza jumamosi.
msikilize hapa http://www.jambovideo.com/2007/05/15/cinderela-ali-kiba/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dogo umejitahidi kibao chako cha cinderella sio mchezo,kwani kinatamba mpaka uk hasa northampton.BIG UP.
ReplyDeleteLakini mbona kuna kijana kaenda mahakamani akidai huyu bwanaa wimbo alikwiba-- yaani hajatunga yeye. Ebu Michuzi fuatilia na tupe nyepesi kwani kuna watu kutumia migongo ya watu wengine kupanda chati.
ReplyDeletekajamaa kamedindisha
ReplyDeleteMhh mie naona nyimbo za huyu Ali, MB dog , na matonya sijui aliyeimba vaileti zinarandana kimidundo so wabadilishe styel siokuigana igana sa nyingine nadhani ni Mb god kumbe Aly heheheh
ReplyDelete