kili inavyoonekana ukiwa kilimanjaro. mdau agata ametuletea hii sasa hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    i see, kumbe kweli ile snow inaoondoka hivihivi tu duh! hii global warming noma kweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    Naomba FULL PIXELS, akutumia picha kubwa zaidi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2007

    Agata hapo umechukulia picha mitaa ya marangu mtoni au?,nilitembelea one time chuo cha marangu ukiamka asubuhi unaona safi sana,japo mimi sikuwahi kuamka asubuhi kutokana na hali ya hewa,
    na ukiweza kuishi maeneo hayo basi ulaya unapeta tu,michu utakubaliana na mimi enzi zako una beba box UK,keep agata na picha kama hizi zinaamsha hisia
    Kamtu-Chui/Paris

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2007

    Na kuchoma misitu hapo Kilimanjaro imechangia sehemu kubwa kuyeyuka theruji.

    Wachoma misitu wahukumiwe KIFUNGO CHA MAISHA.

    Nasikia watu bado wanakata magogo hapo mlimani. Mbao toka za Kilimanjaro ni nzuri sana.

    Wale wanao kata miti ya asili hapo Kilimanjaro kwa ajili ya kuuza mbao wahukumiwe KIFUNGO CHA MIAKA 30.

    Naomba kutoa hoja!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2007

    Michu, kwa sisi wapenda picha asilia na zilizopigwa kitaalam; hii picha ni mwanana sana. namsifu aliye ipiga. Ni kama unaangalia kupitia tundu la darubini vile ambalo limezungukwa na miti..halafu ghafla unachomoza na focal point inakuwa kilimanjaro! Poa sana.

    SteveD.

    ReplyDelete
  6. What a beautifull country I wish one could realize that and be proud!!

    Mungu ibariki Tanzania, viongozi na watu wake

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2007

    The snow is melting on Mt. Kilimanjaro due to GLOBAL WARMING!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2007

    Huu ni ule mlima ambao uko hapa kwetu Kenya na Tanzania saa ingine wanajidai ni mlima wao?

    Wakenya tuko kamili vibaya na sasahivi tunasubiri tu vita kati ya Tanzania na Kenya ili tuwachape waTZ au mnasemaje wadau?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2007

    Wow!!! Wow!!! Wajameni!! Yaani, we acha tu... That is soooo nice and kudos to you Agatha and to you Michu for allowing Aggie's photo. Yaani hivi ndio vitu tunapenda kuona - we feel proud to be Tanzanians. Micu, tuletee scenic pics of TZ like these more often basi. Hata za vijijini na watu wake - tukumbuke tulivyobarikiwa. Ahsanteni.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2007

    This is a picture and a half.

    Regards to the person who took it.

    Pongezi pia kwa huyo 'Agatha' kwa ku-share nasi picha za Mandhari nzuri za huko Kilema-kyaro.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 21, 2007

    Hongera Agatha kwa kujitahidi kupanda juu ya mti na kutupigia picha nzuri. Michu hebu tupe full name ya huyo dada ni Agatha Joseph au?,

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 21, 2007

    Haya maeneo ya kwetu kabisa hebu tuambie umepigia wapi hii picha. Nikiamka asubuhi mlima nauonga hivi jamani..
    Thanx Agata

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...