Home
Unlabelled
kili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i see, kumbe kweli ile snow inaoondoka hivihivi tu duh! hii global warming noma kweli.
ReplyDeleteNaomba FULL PIXELS, akutumia picha kubwa zaidi
ReplyDeleteAgata hapo umechukulia picha mitaa ya marangu mtoni au?,nilitembelea one time chuo cha marangu ukiamka asubuhi unaona safi sana,japo mimi sikuwahi kuamka asubuhi kutokana na hali ya hewa,
ReplyDeletena ukiweza kuishi maeneo hayo basi ulaya unapeta tu,michu utakubaliana na mimi enzi zako una beba box UK,keep agata na picha kama hizi zinaamsha hisia
Kamtu-Chui/Paris
Na kuchoma misitu hapo Kilimanjaro imechangia sehemu kubwa kuyeyuka theruji.
ReplyDeleteWachoma misitu wahukumiwe KIFUNGO CHA MAISHA.
Nasikia watu bado wanakata magogo hapo mlimani. Mbao toka za Kilimanjaro ni nzuri sana.
Wale wanao kata miti ya asili hapo Kilimanjaro kwa ajili ya kuuza mbao wahukumiwe KIFUNGO CHA MIAKA 30.
Naomba kutoa hoja!!
Michu, kwa sisi wapenda picha asilia na zilizopigwa kitaalam; hii picha ni mwanana sana. namsifu aliye ipiga. Ni kama unaangalia kupitia tundu la darubini vile ambalo limezungukwa na miti..halafu ghafla unachomoza na focal point inakuwa kilimanjaro! Poa sana.
ReplyDeleteSteveD.
What a beautifull country I wish one could realize that and be proud!!
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania, viongozi na watu wake
The snow is melting on Mt. Kilimanjaro due to GLOBAL WARMING!
ReplyDeleteHuu ni ule mlima ambao uko hapa kwetu Kenya na Tanzania saa ingine wanajidai ni mlima wao?
ReplyDeleteWakenya tuko kamili vibaya na sasahivi tunasubiri tu vita kati ya Tanzania na Kenya ili tuwachape waTZ au mnasemaje wadau?
Wow!!! Wow!!! Wajameni!! Yaani, we acha tu... That is soooo nice and kudos to you Agatha and to you Michu for allowing Aggie's photo. Yaani hivi ndio vitu tunapenda kuona - we feel proud to be Tanzanians. Micu, tuletee scenic pics of TZ like these more often basi. Hata za vijijini na watu wake - tukumbuke tulivyobarikiwa. Ahsanteni.
ReplyDeleteThis is a picture and a half.
ReplyDeleteRegards to the person who took it.
Pongezi pia kwa huyo 'Agatha' kwa ku-share nasi picha za Mandhari nzuri za huko Kilema-kyaro.
Hongera Agatha kwa kujitahidi kupanda juu ya mti na kutupigia picha nzuri. Michu hebu tupe full name ya huyo dada ni Agatha Joseph au?,
ReplyDeleteHaya maeneo ya kwetu kabisa hebu tuambie umepigia wapi hii picha. Nikiamka asubuhi mlima nauonga hivi jamani..
ReplyDeleteThanx Agata