hapa patakuwa hapatoshi staaz watapocheza na senego jioni ya leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2007

    yes michuzi lete mambo hayo, maana leo mi nashinda naangalia blog yako ili kujua kinachoendelea kirumba, hebu tupe habari ya hapo kidogo leo jifanye chaaaaz hilali.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2007

    asante sana michu, umenikumbushia enzi hizo akina madata lubigisa na paul rwechungula

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2007

    KWA WAPENZI WA SOKA DC METROPOLITAN, MECHI YA TZ NA SENEGAL TUTAIONA LIVE(KAMA ILE YA DAKAR) PALEPALE 6115 GEORGIA AVENUE,NW(WASHINGTON DC) SAA MBILI ASUBUHI KESHO JUMAMOSI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2007

    hayo ndo mambo yenyewe kaka michu..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2007

    Sawa Sawa Misupu Katika Kuonyesha Uzalendo....Bendera Ya Tz Jezi Za Hao Wabeba Bendera Za Friends Ranger Na Abajolo nini?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2007

    Katika zama hizi za vyama vingi Tz, kwa nini uwanja huu uendelee kuwa wa CCM na wasiukabidhi Serikalini kama walivyofanya majengo ya ule ukumbi uliogeuzwa Chuo Kikuu kule Dodoma.
    CCM yaani hilo mnasubiri kuambiwa. Come on!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...