Home
Unlabelled
kirumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yes michuzi lete mambo hayo, maana leo mi nashinda naangalia blog yako ili kujua kinachoendelea kirumba, hebu tupe habari ya hapo kidogo leo jifanye chaaaaz hilali.
ReplyDeleteasante sana michu, umenikumbushia enzi hizo akina madata lubigisa na paul rwechungula
ReplyDeleteKWA WAPENZI WA SOKA DC METROPOLITAN, MECHI YA TZ NA SENEGAL TUTAIONA LIVE(KAMA ILE YA DAKAR) PALEPALE 6115 GEORGIA AVENUE,NW(WASHINGTON DC) SAA MBILI ASUBUHI KESHO JUMAMOSI.
ReplyDeletehayo ndo mambo yenyewe kaka michu..
ReplyDeleteSawa Sawa Misupu Katika Kuonyesha Uzalendo....Bendera Ya Tz Jezi Za Hao Wabeba Bendera Za Friends Ranger Na Abajolo nini?
ReplyDeleteKatika zama hizi za vyama vingi Tz, kwa nini uwanja huu uendelee kuwa wa CCM na wasiukabidhi Serikalini kama walivyofanya majengo ya ule ukumbi uliogeuzwa Chuo Kikuu kule Dodoma.
ReplyDeleteCCM yaani hilo mnasubiri kuambiwa. Come on!