
mapaparazi wa bongo tukiwa na komandoo ikulu zenj tulipokwenda kumwamkia. toka shoto ni emmanuel kwitema, mie abubakar liongo, komandoo, francis lucas, mzee stephen rweikiza. kati ni john ngahyoma, farough karim 'zizu', francis chirwa, johnson mbwambo, shimye ahmed (marehemu). nyuma kuna ali mwinyikai, john bwire juu kabisa na hao nimesahau majina. ilikuwa mwaka 1993
mmh mheshimiwa michuzi kumbe kabla ya 2000 ulikuwa umechoka?
ReplyDeletedah? huyu liongo ni mtangazaji wa michezo mzuri sana,lakini aliwekewa fitina idhaa flani ya kibinafsi,na alie msubstitute kwenye idhaa hiyo akawa anamuiga mpaka sauti(adios amigoooooo),eti baada ya muda mfupi tu,huyo jamaa aliemgezea akawa mtangazaji bora wa michezo kwa mwaka huo,mmh hiyo ndo bongo,
Kamtu-Chui
Michuzi ulikuwa umepigika sio mchezo, mpo na KamaNdoo Salimuni Amri naona...
ReplyDelete