Home
Unlabelled
channel 10
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha ha ha ha! Michuzi kaka yangu una mambo makubwa, madogo yana nafuu. Lakini angalia yasijekushinda tu.Lol
ReplyDeleteChannel "O"
ReplyDeleteMashallah......
ReplyDeleteHebu sogeza huo ushungi kidogo basi.....ah!!
ReplyDeleteIngekuwa nguo inaendana na tabia wallah nigeoa mtu mimi! we acha tu.
ReplyDeleteMASH ALLAH MTOTO, MASH ALLAH
ReplyDeleteNILISEMA HAYA WIKI ILIYOPITA. UTAPATAJE UHONDO WA MECHI ZA MPIRA AU MATUKIO YOYOTE YALE YATOKE VIZURI KWENYE LUNINGA KAMA MAMBO YENYEWE NDIYO HAYA!
ReplyDeleteMTOTO WA MJOMBA ANAJUA KUCHUKUA VIDEO KWENYE CAMCORDER YAKE, AHAAAA HUYO ANAFAAA KABISA KUFANYA KAZI KWENYE TV...MAMBO HAYO.
KILA KITU JAMA KINA HITAJI ELIMU NA UJUZI WA KAZI UNAYOTAKA KUFANYA SIYO KUVAMIA TUUU.
SASA KAMA LIKITOKEA JAMBO LOLOTE LA HATARI HAPO, ATAWEZA KUREKODI HUKU AKIWA NA BUIBUI AU HIJAB YAKE. TOBAAAA MIEEEE
Channel O huwa inaonyesha mambo machafu ambayo ukiwa na watoto wastaarabu huwezi ruhusu waangalie.
ReplyDeleteKumbe wanaoyaandaa huwa wamejificha kwenye hijabu!
dah mtoto kapendeza wallahi
ReplyDeleteWe anon wa 4.45 kwani tatizo ni ushungi au ufanisi wa kazi. Ushaanza kuleta ubaguzi wa kimagharibi. Hijabu haitamzuia huyu kufanya kile watu wengine wanafanya. Kwani hao Channel 10 hawakuona watu wengine ambao hawavai hijabu.Nadhani walimuona ana-qualify ndio maana wakamuajiri. Ondoa fikra za kibaguzi la sivyo hatutofika sehemu. Mbona EMIRATES watu ni hijabu tu lkn hatuwakuti kimaendeleo?
ReplyDeleteGAGAGIKOKO ni Quality siyo Qualify plse,kuwa na wakati nzuri anyway!!!
ReplyDeletehuyo ndiyo mwenyewe aliyepondwa na huyo anony hapo juu. Gagagigicoco kujibadilisha jina tu lakini ukweli wa mambo ndiyo mwenyewe hasa aliyepigwa jembe la uso kwa kuambiwa ukweli wa mambo.
ReplyDeleteUsilalamike sana kwani hata JK amemkurupusha kijana wake akachukue fomu za NEC wakati hata maana NEC na katiba yake haijui.
We lamba kibarua chako lakini ukweli wa mambo watu wataelezwa hadi kielewekeeeeeee. Undugunaizesheni lazima ufe siku hizi. Na msiombe niwe rais, wenye ndugu zao wote wasio na qualification kwenye wizara, idara na hata kwenye taasisi binafsi, watkula panga. Nichagueni mwaka 2010.
Hijabu sasa hivi zinavaliwa si na waislamu tu bali na watu wengine wanaoumwa wenye madonda mwilini na Kichwani yatokanayo na maradhi ya Ukimwi.
ReplyDeleteWaoaji mkae chonjo!! Sasa hivi si kila king`aacho dhahabu.