Home
Unlabelled
LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau,
ReplyDeleteKAMA televisheni ya Radio Television Senegalaise (RTS) wataonyesha mechi ya ya Tanzania-Senegal basi tunaweza kuitazama live kupitia http://www.sunuker.com/index.php?option=com_content&task=view&id=191&Itemid=1
Ukishafungua utaona (upande wa kulia) maneno (ya kifaransa) "TV en direct", chagua chini yake RTS (Senegal) halafu bonyeza "Regarder".
Lakini sina hakika kama RTS wataonesha mechi hii.Mechi ya mwanzo walionesha (na hata watu wa nyumbani walitazama ktk East African Tv kutokea RTS) na niliingalia kupitia www.rewmi.com Lakini nilijulishwa late sana na nikapuuzia nikaendelea kutazama mechi ya Israel-England.Nilikuja kufungua computer wakati tunafungwa goli la 4.
Katika website ya Rewmi nilibonyeza "en direct" nikaipata RTS.Ni rafiki m-bongo ndie alienijulisha.Sasa kwa kuwa mimi french iz not richabo nimepitia www.rewmi.com na nimeona habari kibao za Tanzanie-Senegal bila kuelewa.Wadau mlio na "utajiri" wa lugha tufahamishane kama jamaa wamesema wataonyesha hii mechi au vipi,kwa kutembelea www.rewmi.com na vyombo vingine vya habari vya Senegal.
Mungu ibariki Tanzania!
Aluta Continua!
hatuna budi kuwafunga senegal..
ReplyDeletemungu ibariki tanzania.
Bro michuzi naomba utupe score za stars na senegal, matokeo yameenda vipi
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletehttp://issamichuzi.blogspot.com/2007/01/mrembo-edna-audax-muda-mfupi-kabla-ya.html#comments
------
Tupe habari za Edna Audax Kayozi (yule Miss aliyekuwa anasukuma begi la Manzese pale Airport kwenda China kushiriki Miss Top Model of The World)
--------
http://www.topmodeloftheworld.com/site/index.php?id=139&page=sedcard_detail&mid=77
Wanachohitaji wachezaji wetu wa Stars ni kuwaheshimu Senegal lakini si kuwaogopa kwa majina yao makubwa. Naam. Mpira duara, unadunda pia, lolote laweza kutokea. Tusubiri kipenga cha mwisho. KILA LA HERI TAIFA STARS YETU.
ReplyDeleteGame itaonyeshwa live na TVT (Television ya Taifa), kuanzia saa tisa alasiri wameshatangaza kuwa wataonyesha, na TVT inapatikana kwa njia ya Satelite kwa Africa nzima. Sina hakika kama Star TV wataonyesha kwa kuwa TVT ndio wamepata kibali hicho zaidi ya hapo mlio ughaibuni mnaweza kusikiliza kupitia Clouds Fm wao watatangaza huu mtanange Live. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars.
ReplyDeleteTanzanianboy, TVT wataonyesha hii game LIVE. Itakuwa mida ya saa tisa alasiri na CLOUDS FM watatangaza Live kupitia katika mtandao wa internet na kwa kumbukumbu zangu ni kwamba TVT inapatikana kwa njia ya Satellite so unaweza kuiona but kwa njia ya internet maybe usikilize sidhani kama Star Tv wataonyesha kwani wao wanapatikana kwa internet ila nimesikia kuwa ni TVT tu ndio wamepata kibali cha kuonyesha hii game, otherwise itabidi usicheze mbali na Michuzi ili kujua matokeo. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars. TANZANIA GO GO GO GO GO GO GO GO!!!.
ReplyDeleteTANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
ReplyDelete1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
3. Tanzania Tanzania, watu wengi wanakusifu,
Siasa yako na desturi, ilituletea uhuru
Hatuwezi kusahau sisi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
TAIFA STARS OYEEEEE!
WATANZANIA TUONYESHE MSHIKAMANO LEO TUWASHANGILIE KWA NGUVU VIJANA WETU LEO.UMOJA WETU NDIYO USHINDI!
PROUDLY TANZANIAN
Viva Tanzania!! Go TZ!!! Wabongo solidarity and patriotism kuishangilia team yetu. Mpira ni dakika 90. Anything can happen! Upsets zinatokea. Infact hawahawa Senegali waliwa-upset Ufaransa when they were defending world cup champions back in 2002. Nasisi vilevile twaweza wa-upset. Lakini realistically, tukishinda then tuutumie usindi huu kujiimarisha kisoka. Tukifungwa, tujifunze kutokana na makosa yetu.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania!!
Hii mechi tutapoteza, ila tujizatiti dhidi ya Msumbiji na B/Fasso!
ReplyDeleteTZ -0
Senegal -2
kila la kheri stars michuzi usisahau kutupa latest
ReplyDeleteTANZANIA 1 SENEGAL 0
ReplyDeleteMPIRA UMEKWISHA.
ReplyDeleteTANZANIA 1 - 1 SENEGAL
KIKWETE TIA WACHEZAJI WOTE NA KOCHA WAO KWENYE NDEGE YA RAISI
LETA HAPA IKULU NA UCHAPE WOTE BAKORA!!
YAANI WATU HAWAJITUMI KABISA KWA STAILI YA KUFA NA KUPONA!! ALA!!
MWISHO KABISA, RUDISHA PROGRAM YA JESHI LA KUJENGA TAIFA!
ANGALIA NIGERIA AMBAKO HII PROGRAM IKO HADI LEO VIJANA WALIVYO FITI NA JINSI WANAVYOJITUMA KUTAFUTA USHINDI KATIKA MAISHA.
NENDA LAGOS KAMA UTAKUTA KIJANA AMELEGEA LEGEA!
NI HAYO TU.
Mimi ni mwananchi mwenye hasira.
Senegal 1, Tz 1-What does these results imply??
ReplyDeleteAre we going to advance or is it the end of a story?
We anony wa 4.59 wacha kukariri. Ulitaka vijana wetu wafungwe au ulitakaje?
ReplyDeleteHiyo draw tumejitahidi. Nani asiyeijua Senegal.
Wacha kuvunja vijana wetu moyo.Ingia weye tuone unavyokatika viuno. Unadhani mpira sw na jeshi!!
We mwananchi mwenye hasira kwanza naomba nikutukane... MAKALIO YA MKWEO... pili huna nidhamu na tatu huna shukrani.. we ulitaka vijana wacheze vp while vijana wameonyesha bonge la game.... Nyang'au we kwanza inaonekana we ni mtu pori sijui umetokea NANJILINJI maana una post coments zisizo na mantiki,, habari za Nigeria zinatuhusu nini sisi kama kwenu mpo lege lege yawezekana POPOBAWA amesha waharibu... Kwa kifupi vijana wamecheza game safi na droo ni matokeo tu tunachopaswa ni kuwasupport wasife moyo sio mpuuzi kama wewe unayekuja kupost kashifa kwenye hii blog..... mwisho naomba nikwambie ... UNACHOCHWA WEWE usipost upuuzi kama huo humu ndani
ReplyDeletejamaa wamerudisha bao
ReplyDeleteTANZANIA 1 SENEGAL 1
jamaa wamerudisha bao
ReplyDeleteTANZANIA 1 SENEGAL 1
WEWE ANON WA June 2, 2007 5:56:00 PM EAT NIDHAMU KAMFUNDISHE HOUSE GIRL WAKO.
ReplyDeleteHONGERA NAONA UMECHUKUA SHAHADA YA UZAMILI YA MATUSI.
UNGEKUWA KANDO YANGU NINGEKUTANDIKA NGUMI MOJA UKAMPUMZIKE ICU, LABDA UKIAMKA UTAJUA MAANA YA NIDHAMU
//Mwananchi mwenye hasira
MOZAMBIQUE 3-0 BUKINA FASO
ReplyDeleteMAKARATASI HAO
ReplyDelete