LEO NI LEO, ASEMAYE KESHO MWONGO. TAIFA STAAZ INAJIMWAYA CCM KIRUMBA KUITOA NISHAI SENEGO. DOGO HAPO ALIYE UGHAIBUNI KESHABASHIRI MATOKEO HIVYO WADAU MSIHOFU. JAMAA LAZIMA WALE 3 MTUNGI WATAKE WASITAKE....
MUNGU IBARIKI TAIFA STAAZ
MUNGU IBARIKI BONGO NASI TUJIDAI
MUNGU WABARIKI WADAU WOOOOOOOTE
AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Wadau,

    KAMA televisheni ya Radio Television Senegalaise (RTS) wataonyesha mechi ya ya Tanzania-Senegal basi tunaweza kuitazama live kupitia http://www.sunuker.com/index.php?option=com_content&task=view&id=191&Itemid=1

    Ukishafungua utaona (upande wa kulia) maneno (ya kifaransa) "TV en direct", chagua chini yake RTS (Senegal) halafu bonyeza "Regarder".

    Lakini sina hakika kama RTS wataonesha mechi hii.Mechi ya mwanzo walionesha (na hata watu wa nyumbani walitazama ktk East African Tv kutokea RTS) na niliingalia kupitia www.rewmi.com Lakini nilijulishwa late sana na nikapuuzia nikaendelea kutazama mechi ya Israel-England.Nilikuja kufungua computer wakati tunafungwa goli la 4.

    Katika website ya Rewmi nilibonyeza "en direct" nikaipata RTS.Ni rafiki m-bongo ndie alienijulisha.Sasa kwa kuwa mimi french iz not richabo nimepitia www.rewmi.com na nimeona habari kibao za Tanzanie-Senegal bila kuelewa.Wadau mlio na "utajiri" wa lugha tufahamishane kama jamaa wamesema wataonyesha hii mechi au vipi,kwa kutembelea www.rewmi.com na vyombo vingine vya habari vya Senegal.

    Mungu ibariki Tanzania!
    Aluta Continua!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2007

    hatuna budi kuwafunga senegal..

    mungu ibariki tanzania.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2007

    Bro michuzi naomba utupe score za stars na senegal, matokeo yameenda vipi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2007

    Michuzi,

    http://issamichuzi.blogspot.com/2007/01/mrembo-edna-audax-muda-mfupi-kabla-ya.html#comments

    ------

    Tupe habari za Edna Audax Kayozi (yule Miss aliyekuwa anasukuma begi la Manzese pale Airport kwenda China kushiriki Miss Top Model of The World)

    --------

    http://www.topmodeloftheworld.com/site/index.php?id=139&page=sedcard_detail&mid=77

    ReplyDelete
  5. Wanachohitaji wachezaji wetu wa Stars ni kuwaheshimu Senegal lakini si kuwaogopa kwa majina yao makubwa. Naam. Mpira duara, unadunda pia, lolote laweza kutokea. Tusubiri kipenga cha mwisho. KILA LA HERI TAIFA STARS YETU.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2007

    Game itaonyeshwa live na TVT (Television ya Taifa), kuanzia saa tisa alasiri wameshatangaza kuwa wataonyesha, na TVT inapatikana kwa njia ya Satelite kwa Africa nzima. Sina hakika kama Star TV wataonyesha kwa kuwa TVT ndio wamepata kibali hicho zaidi ya hapo mlio ughaibuni mnaweza kusikiliza kupitia Clouds Fm wao watatangaza huu mtanange Live. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2007

    Tanzanianboy, TVT wataonyesha hii game LIVE. Itakuwa mida ya saa tisa alasiri na CLOUDS FM watatangaza Live kupitia katika mtandao wa internet na kwa kumbukumbu zangu ni kwamba TVT inapatikana kwa njia ya Satellite so unaweza kuiona but kwa njia ya internet maybe usikilize sidhani kama Star Tv wataonyesha kwani wao wanapatikana kwa internet ila nimesikia kuwa ni TVT tu ndio wamepata kibali cha kuonyesha hii game, otherwise itabidi usicheze mbali na Michuzi ili kujua matokeo. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Taifa Stars. TANZANIA GO GO GO GO GO GO GO GO!!!.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2007

    TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

    1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
    Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
    Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
    Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

    2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini,
    Kutazama maajabu, biashara nayo makazi,
    Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu hakika
    Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

    3. Tanzania Tanzania, watu wengi wanakusifu,
    Siasa yako na desturi, ilituletea uhuru
    Hatuwezi kusahau sisi, mambo mema ya kwetu hakika
    Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
    TAIFA STARS OYEEEEE!
    WATANZANIA TUONYESHE MSHIKAMANO LEO TUWASHANGILIE KWA NGUVU VIJANA WETU LEO.UMOJA WETU NDIYO USHINDI!
    PROUDLY TANZANIAN

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2007

    Viva Tanzania!! Go TZ!!! Wabongo solidarity and patriotism kuishangilia team yetu. Mpira ni dakika 90. Anything can happen! Upsets zinatokea. Infact hawahawa Senegali waliwa-upset Ufaransa when they were defending world cup champions back in 2002. Nasisi vilevile twaweza wa-upset. Lakini realistically, tukishinda then tuutumie usindi huu kujiimarisha kisoka. Tukifungwa, tujifunze kutokana na makosa yetu.

    Mungu ibariki Tanzania!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2007

    Hii mechi tutapoteza, ila tujizatiti dhidi ya Msumbiji na B/Fasso!

    TZ -0
    Senegal -2

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2007

    kila la kheri stars michuzi usisahau kutupa latest

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2007

    TANZANIA 1 SENEGAL 0

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 02, 2007

    MPIRA UMEKWISHA.

    TANZANIA 1 - 1 SENEGAL

    KIKWETE TIA WACHEZAJI WOTE NA KOCHA WAO KWENYE NDEGE YA RAISI
    LETA HAPA IKULU NA UCHAPE WOTE BAKORA!!

    YAANI WATU HAWAJITUMI KABISA KWA STAILI YA KUFA NA KUPONA!! ALA!!

    MWISHO KABISA, RUDISHA PROGRAM YA JESHI LA KUJENGA TAIFA!

    ANGALIA NIGERIA AMBAKO HII PROGRAM IKO HADI LEO VIJANA WALIVYO FITI NA JINSI WANAVYOJITUMA KUTAFUTA USHINDI KATIKA MAISHA.

    NENDA LAGOS KAMA UTAKUTA KIJANA AMELEGEA LEGEA!

    NI HAYO TU.

    Mimi ni mwananchi mwenye hasira.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 02, 2007

    Senegal 1, Tz 1-What does these results imply??

    Are we going to advance or is it the end of a story?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 02, 2007

    We anony wa 4.59 wacha kukariri. Ulitaka vijana wetu wafungwe au ulitakaje?

    Hiyo draw tumejitahidi. Nani asiyeijua Senegal.

    Wacha kuvunja vijana wetu moyo.Ingia weye tuone unavyokatika viuno. Unadhani mpira sw na jeshi!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 02, 2007

    We mwananchi mwenye hasira kwanza naomba nikutukane... MAKALIO YA MKWEO... pili huna nidhamu na tatu huna shukrani.. we ulitaka vijana wacheze vp while vijana wameonyesha bonge la game.... Nyang'au we kwanza inaonekana we ni mtu pori sijui umetokea NANJILINJI maana una post coments zisizo na mantiki,, habari za Nigeria zinatuhusu nini sisi kama kwenu mpo lege lege yawezekana POPOBAWA amesha waharibu... Kwa kifupi vijana wamecheza game safi na droo ni matokeo tu tunachopaswa ni kuwasupport wasife moyo sio mpuuzi kama wewe unayekuja kupost kashifa kwenye hii blog..... mwisho naomba nikwambie ... UNACHOCHWA WEWE usipost upuuzi kama huo humu ndani

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 02, 2007

    jamaa wamerudisha bao
    TANZANIA 1 SENEGAL 1

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 02, 2007

    jamaa wamerudisha bao
    TANZANIA 1 SENEGAL 1

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 03, 2007

    WEWE ANON WA June 2, 2007 5:56:00 PM EAT NIDHAMU KAMFUNDISHE HOUSE GIRL WAKO.

    HONGERA NAONA UMECHUKUA SHAHADA YA UZAMILI YA MATUSI.

    UNGEKUWA KANDO YANGU NINGEKUTANDIKA NGUMI MOJA UKAMPUMZIKE ICU, LABDA UKIAMKA UTAJUA MAANA YA NIDHAMU

    //Mwananchi mwenye hasira

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 03, 2007

    MOZAMBIQUE 3-0 BUKINA FASO

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 04, 2007

    MAKARATASI HAO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...