Home
Unlabelled
loki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Police wako wapi? yaani mpaka gari ifungwe hivyo police hajafika!!!!
ReplyDeletekuna polisi bongo ndugu yangu? we hadi majambazi wanafika kibaha nao ndio wanafika sehemu ya tukio we mgeni na polisi wetu hapa nini? au hujawahi kusikia kwenye matukio ya nyumba kuungua kuwa huwa inateketea kabisa bila hata zima maji kufika na hata wakiwahi kidogo ujue gari halina maji. Hii ndo Tanzania yetu ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, wellcome to Tanzania!
ReplyDeleteBONGO BADO HATUJAAMKA TU MPAKA LEO. MTU KAPIGWA PASI KIDOGO, NYOMI LA NGUVU KILA KONA UTAFIKIRI MTU KAUAWA.
ReplyDeleteHII INAONYESHA JINSI GANI VIJIWE VYA MASKANI VINAVYOSHAMIRI KILA KONA.
AJALI KAMA HIYO NI YA WENYE MAGARI KUELEWANA, KUEPANA MAKAMPUNI YAO YA BIMA AU KWENDA KUNUNUA VIFAA GARI ITENGENEZWE MCHEZO UISHE.
LAKINI ITAKUWA NDIYO NONGWA MPAKA POLISI WAJE, WAPIME, KESI IENDE MAHAKAMANI. NDIYO MAANA WIZI NA RUSHWA HAZISHI. LONGOLONGO KIBAOOO.