
rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mhe. amani abeid karume akisalimiana na balozi Peter kalaghe anaekwenda canada wengine katika picha ni balozi juma maharage (kati) anaekwenda U.A.E na balozi john kijazi anaekwenda india. mabalozi hao leo walienda ikulu zanzibar kuaga rasmi tayari kwa kwenda kuaanza kazi katika nchi hizo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...