Home
Unlabelled
leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baada ya kubainishwa kwamba address waliyotoa WTM huko Dagenham inatiliwa mashaka katika blog hii, leo hii wametoa address mpya ambayo pia ina utata kama zoezi ambalo wanakusudia kulifanya. Hatimae address yao imezaa address mbili kwa mojabarking/dagenham kama inavyoonyesha kwenye tovotu yao, katika maisha yangu kukaa UK, sijawahi kuona address ina address mbili kwa moja, inadhihirisha wazi kwamba hii kampuni hawajui wanachokifanya na wanachokikusidia kukifanya, bali ni sehemu ya kitengo cha kuchukulia wafanyabiashara pesa zao bila kuwa na mantiki au taratibu za kuaminika katika kufanya zoezi hilo.
ReplyDeleteHata hivyo leo hii WTM wametoa press release, ambayo inaongelea kuhusu zoezi hilo la ukaguzi wa magari, ambalo litaanza tarehe 06 June 2007, na siyo tarehe 14 MAy 2007 kama ilivyoelezewa hapo awali, walipoingia mkataba na TBS.
Kama tulivyoolezea hapo awali wafanyabiasha lazima, wapeleke malalamiko yao kwenye vyombo vya sheria hapa UK na huko Tanzania kupata uwazi wa huu utaratibu mzima wa hili zoezi gharamu ambalo mpaka muda huu, hakuna taratibu kamili ambayo iko wazi kwa wananchi, hususan kuhusu hili swala la gari kuwa MOT, inakua vipi tuwapelekee hawa jamaa kukagua gari hilo hilo.
Hii licence yao, kama wanvyodai wamepatiwa kuweza kuanzisha hili zoezi, lazima iangaliwe upya na malalamiko lazima yapelekwe VOSA uk, na vyombo vyengine husika vya kiserikali UK.
Mpaka hivi sasa sina Clue WTM ina maana gani kwa urefu ?? SAY NO DUBIOUS COMPANY SAY NO DUBIOUS DEAL
Jama jama, kufuru hii!! na hii yote ni kuhalalisha vigogo kutembelea mashangingi!! SteveD.
ReplyDeleteJe kampuni ya WTM inabiashara ya kukagua na kusafirisha magari, hiki si kujichanganya na kuwapendelea zaidi, wateja wao wa wenye kusafirisha magari.
ReplyDeleteWaungwana hili ni swala la kuliangalia.
Scenario,
Nina malori mawili na magari madogo mawili, ninakusudia kuyasafirisha kuyapeleka Tanzania, vile vile meli nitakayoitumia inaondoka siku tatu kutoka leo, ninawapelekea hawa WTM kukagua haya magari kwa bahati mbaya yote yamefeli, lakini sasa ninarudi tena na kuwapa hii deal ya kusafirisha haya magari yangu kwa kutumia kampuni yao, kwa gharama kama paundi 6000, na wao watapata chao kama paundi 2500 mpaka 3000. Je WTM hawayatayachukua haya magari na kusafirisha kwa kutumia kampuni yao ?? hali ya kuwa wata issue hizo TBS certificates kwa magari ambayo yamefeli MOT na TBS Standards???
Hili tatizo nina uhakika litazua mengi hapo mbeleni, ni swala ambalo tuliangalie kwa makini
Hivi Tanzania tunajiandaa na vita nini mbona maandaki yanatisha
ReplyDeleteSILENT STALKER SAYS.......Guys huu ndio moyo WTM are DOGGGY , lets phone the DVLA , VOSA , papers n media in genral and get this company on the SHAME list & on the TOP of the NEWS too much SCAM, am emailing all media tomorrow stay tuned
ReplyDeleteIssa utajiju na mahandaki yenu. Na bado....................
ReplyDeleteSir Issa TUNASHUKURU SANA KWA UFUATILIAJI HUU...HAKUNA ANAYEJALI KATIKA SERIKALI YETU MPAKA LEO WAO WANAZUNGUKA TUU...HALAFU ISSA NINAOMBA "..UWEKE PICHA ZA BARABARA ZA MIJI MINGINE YA TANZANIA..".HAWA WAHESHIMIWA (MEYA) WAONDOKE HAWAWEZI KAZI KUNAWA TANZANIA WENGI TU WAMEHITIMU NA WANAUWEZO WA KUFANYA KAZI KWA UANGALIFU NA UWEZO MKUBWA.
ReplyDelete