siku moja moja mkongwe saidi mabera wa msondo ngoma hujikumbusha kupuliza mdomo wa bata ambao alikuwa anaumudu vilivyo kabla ya kuamua kukung'uta mpini. hapa anapuliza wakati wimbo wa 'nidhamu ya kazi' ukiimbwa kwenye uzinduzi wa wiki ya utumishi wa umma leo bustani ya gaden ya mnazi mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...