mtangazaji mahiri wa clouds 88.4 fm paul james alikuwepo kutangaza laiv ufunguzi wa wiki ya utumishi wa umma leo. yeye na stesheni yake ni staaz damu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2007

    (CLOUD'S FM)...or (CLOUDS FM) Is this another wrong use of apostrophe?!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2007

    duh mchizi kachoka kishenzi kuliko hata umri wake, enzi zile za bwiru boyz na Lake alikuwa anatusumbua kwa sana life ya bongo nomaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2007

    Hayo MENO yanayokenuliwa ni ya nini ??? Au kafurahia hiyo picha huyo mchovu ??????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2007

    michuzi tafuta dentist atueleze idadi ya meno kwa binadamu. inawezekana taarifa nilizonazo sio sahihi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2007

    Mshikaji PACE ya Fina Mango ktk POWER BREAKFAST ilikuweka pembeni kabisa UKABAKI KUITIKIA!! TU DUH POLE SANA....!!Michuzi naomba picha ya Gerald Hando...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2007

    Mshikaji anajua jua kucheza soka ila dizaini mtu wa maji kwa sana!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2007

    Sema paul mambo vipi za siku babu ,nakumbuka enzi za kinondoni shamba ,mzee ken boy,masu david mazee long time ,nilisikia ulikuwa denga kipindifuni .poa babu nitakutafuta nikija bongo

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2007

    Nadhani cloud's fm ni sawa sawa kwa sababu inaonyesha possesive

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2007

    du!!! michuzi kajamaaa kapungua sana,yani mimi namkumbuka wakati anacheza mpira,timu za mashule,adi alivyokuwa dj pale dellex!!lakini sasa amechoka sana,sijui hata yule demu wake fatma babu akimuona anaweza kulia,dah maisha ya bongo si mchezo??jk waurumia hao ngombe wako kwani unawakamua bila uruma?????
    dirtycash-SEOUL

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2007

    Wabongo bwana hamna jema...au na nyie ni wivu tu?? kwa vile alikua popular huko shuleni na nyie mlikua hamjulikani kwa hiyo saa hizi mnarusha marungu???

    Aliwachukulia totoz zenu au???

    Hapo mnachokiona ni hiyo jersey ya Clouds FM na hiyo smile yake basi kila mtu lazima aseme lake...Mtu akiwa mwembamba kachoka ...acheni mind za kijinga....Mnaona kachoka hapo mmeona nini....wivu tu kwa vile mlikua mnamsujudu enzi hizo sasa mmetoka nje ya nchi na kuanza kupumua ndio maana mnakandia ..

    Mwacheni kijana wa watu yuko fit na body yake ni so tight sasa nyie na miburger yenu mnaona aibu...Toeni picha zenu tuwaone...

    Mkome tena mkome sana pumbafu nyie...

    Sikujua wanaume nao wanawivu na majungu pia...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 19, 2007

    Anon wa June 18, 2007 11:17:00 PM EAT, you are damn right!
    Jamani wanaume siku hizi noma! full majunguz, full wivu! kazi kusema wenzao. If you guys have guts leteni za kwenu tuwaone.... Kubeba boxx, kula junks,, kunenepa ndo mmeona dili?! Gaddimit! Ohhh kachoka,, ohh meno,,! Pumbavu nyie toeni za kwenu tuwaone! Sio kusema wenzenu,Atleast Pj's makin a living thru that! Wengi wenu huko mmearibikiwa, kurudi home noma! No elimu no anything watu miaka kumi hawarudi, huh!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 19, 2007

    Wrong use of aposstrophe, wadau it's CLOUDS FM! no apostrophe!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2007

    YAANI KAKA WATU AMESMILE VIZURI ILA NYIE WABEBA MABOKSI WA HUKO ULAYA NA MAREKANI HAMUISHI KUMUONEA WIVU! eTI MAISHA MAGUMU BONGO! NA WEWE UNAYELEA WAZEE/VICHAA/WATOTO WA KIZUNGU NDIO UNA MAISHA YA RAHA? AU NABOKSI YANAYOPINDISHA MIGONGO YENU NDIO MAISHA MAZURI? BONGO IKO LIFE BWANA...KILA KITU KINAPATIKANA UKITAKA KUANZIA NYUMBA NZURI, MAGARI, ELIMU NA KAZI ZA MAANA. NYIE BEBENI TU MABOKSI NA KUENDELEA KUAPATA TABU NA WAZUNGU NA KUISHI KIKIMBIZI. HUJAONA FAMILIA YAKO MIAKA KUMI HALAFU UNAJIONA MTU........UZALENDO. MWACHENI KAKA WA WTU AFURAHI. BORA YEYE ANAPATA MUDA WA KUFURAHI, NYIE WENZANGU MPAKA UKILEWA NDIO UNACHEKA OTHERWISE NI BOKSI MTINDO MMOJA. HALA FU OOOH BONGO MAISHA MAGUMU? SEMENI UKWELI NA MUACHE KUFIKIRI KWAMBA HATUJUI MNAYOYAFANYA HUKO!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2007

    mie niko pamoja na hawa wanaowakandia hao wabeba mabox ulaya kweli, bwana kwanza ulaya mtu mpaka unywe maji ushibe we tajiri sana kwani wengi wao wanaporejea wanaadithia " e bwana eeh! yani kule unywe bia we tajiri sana, kwani ni agali mno, sasa kuna anony anasema eti huyu ni mtu wa maji ,why not kama we kidume kunywa basi uko ulaya tuone! kama sio unabania vipound vyako sijui dola kwa ajili ya mama watoto wako huku ambao wabongo wanakugongea kila siku we unachonga, tena ndo un awatuma wamfatilie mkeo , poa ! nafikiri kwa haya machache wataacha kumganda kaka wa watu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 20, 2007

    Kama mshkaji amechochoka tuu!
    Kweli wabeba box leo mmetuamkia.
    Kubeba box bongo mpaka uandike barua ya maombi,huku wenzenu tukiamka tunajiuliza leo niingie mtaa gani...sio mpaka barua ya maombi.
    Hao mnaowaita wakimbizi,ujue kuwa na computer vimbani mwao pia shida, so wakiwa cafe sio rahisi wapate muda wa kutoa komenti
    Halafu wewe wa bia ghali...labda ukitaka nyea bar,kama wanunua supamaketi hazina ughali wowote.
    Nikibeba boksi fresh,ntaporudi home ntajenga nyumba mje mpange mnanisikia?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 20, 2007

    ...Drugs TUPU...

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 22, 2007

    Na wewe anayesema possession ya Clouds...hamna kitu kama Cloud...hamna Cloud moja. Kama ni kuposses ni Clouds' siyo Cloud's. Feel me and get it right.
    REASON clouds regardless ni plural(wingi)
    So its either Clouds' FM ie to possess or Clouds FM. as in Mawingu FM.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 22, 2007

    Jamani jina lake mwenye kampuni kaamua hivyo nyie mnakaa kulijadili. Fungue ni vyenu muvipe majina kamili
    Akiamua kuita wingu, mawingu, viwingu, anga, angani, mbingu na mbinguni ni yeye mwenyewe

    Mh....mbona kazi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...