Home
Unlabelled
mama na mwana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi!!!
ReplyDeleteKwa hiyo huyu mama si kuku?
Taaaa tantaaa tarararaaaa tantaaa taaaa tantaaaa ta-ra-ra-ra-ra-ra. mama na mwana!
ReplyDeleteduh enzi zile wakati wa kipindi cha mama na mwana kilikuwa RTD. wadau mnakumbuka hiyo!
NOPE
Duh! Michuzi bwana.... eti mama akimhifadhi kuku!! Lakini sawa tunakubali kuwa hicho ni kikuku, lakini ungeandika kifaranga ungenisaidia kidogo miye kupunguza maumivu ya mbavu kutokana na kicheko!!
ReplyDeleteHalafu hako kakifaranga kenyewe kanaonekana nuksi kichizi... cheki kanavyo dadisi anga!!! Vifaranga vya namna hii ndiyo huwa vinakua na kuwa KUCHI wapiganaji wasio na manyoya shingoni. kila kukicha ni ugonvi tu na jogoo wa jirani!! he he.
Mdau hapo Juu umenikumbusha zamani sana miaka ya themanini. Hicho kipindi alikuwa anakiendesha Sara Dumba, alikuwa anakimudu sana na hadithi zake kila Jumamosi. Hivi yupo wapi huyo Mama?
ReplyDeleteJamani
ReplyDeleteUtanifanya nilie kuna vitu vingine tukiwa home vya kawaida tu lakini huku ni kama kipofu akiona mbalamwezi.
ReplyDeleteHadithi za mama na mwana nilizikuta kwenye podomatic siku moja nilitoa macho
mna kumbuka hadithi ya mtoto wa wafalme na chura? MAMA NA MWANA HADITHI HII HAPA
Umenikumbusha sana kipindi cha mama na mwana cha RTD (saa 8:02 mchana hadi 8:30 mchana) ambapo watoto tulikuwa hatukubali kutumwa dukani au nyumba ya jirani (hata kwa manati). Nammiss sana mama Deborah Mwenda na hadithi zake tamu.Yaani ilikuwa raha mtindo mmoja.
ReplyDeleteHadithi kama Binti Chura au Ua jekundu SITAWEZA kuzisahau kamwe.Michuzi "hutupendi" wewe,mbona sasa watukumbusha mambo matamu ambayo hayatakaa yarudi tena? Maskini mie!
Jama nisaidieni... huyo mama wa KUKU mwaweza fikiria ana miaka mingapi vile?!...maana naona kipara kimeanza kumpata kutokana na shida mbali mbali za kukwepa mwewe na vipanga na pia kukimbizana na wamiliki wake akikwepa kuchinjwa kwa kupaa na kukaa kwenye paa la nyumba...mimi nadhani ana miaka 3 na nusu hivi...
ReplyDeletenipe maoni tafadhali.. he he
Mheshimiwa Issa..PICHA AINA YAKE HII HUYU "MTETEA" KAJITAHIDI SANAA KUNIFADHI "KIFARANGA" CHAKE.. FLASH YAKO INAFANYA KAZI MURUA..NA SIO " MWEWE " WALA " KIPANGA ". WIMBO..
ReplyDeleteKUKU MWEUSI..
KAMKARANGIZE NA MAPILIPILI..KAMKARANGIZE...
KUKU MWEUPE..
KAMKARANGIZE NA MAPILIPILI..KAMKARANGIZE...
ETI WADAU KATI YA KUKU NA MAYAI KIPI KILITANGULIA NAOMBENI MNIELEWESHE WAUNGWANA!
ReplyDeletePrince lee wew uko kwenye Scientology cult au????
ReplyDeleteMumgu uliona ameumba mayai au wanyama kwanza?
Go figure
jamani nimesikiliza hadithi za mama na mwana....mweee nikienda home nitasikiliza zote
Michuzi thanks so much kwa vile kama sio weew haya yote tusingeyaona humu