Home
Unlabelled
dadazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana dada yangu chakarika tu,kuliko kujiingiza kwenye vitendo vya aibu.
ReplyDeleteWell done.... I am very impressed ...mambo ya kutegemea wanaume sio mazuri. Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani...
ReplyDeleteNampongeza sana dada kwa ujasiri maana siku hizi ni kufanya kazi halali, japo kwa TZ sijui kama inalipa hiyo kazi inalipa vizuri ila kikubwa ni kwamba anapata pesa yake halali badala ya kwenda Joli na Ohio kuvizia mabuzi ambao siku hizi wamekata kamba na hasa ukichukulia gonjwa hili la ukimwi.
ReplyDeleteHongera sana dada, umeonyesha njia.
Ila michu kuna dada mmoja ni konda sijui unamjua?, alikuwa njia ya Ubungo - Mwenge kupitia Chuo kikuu, sijui kama bado yupo maana ni siku zimepita toka nitoke maeneo hayo.
duhu huyu demu ana makalio na shape safii kabisa..
ReplyDeleteNa lazima akina dada wanauza magazeti zaidi ya hao wanaume.
ReplyDeleteHuyo dada anatia moyo sana kwa kweli. nywele kafunika na kitambaa kutokana na vumbi za hapa na pale, suruali pia inafaa sana kwa kazi hiyo kutokana na upepo wa hapa na pale hapo dar. Na muhimu ni kuona kuwa pamoja na kero zote za dar,yuko mstari wa mbele kuendeleza maisha yake. HONGERA DADA.
ReplyDeleteWatu kama hawa huko Uingereza huwa watu wanawapendekeza kwenye vyombo maalum, wanapigiwa kura kisha wanapewa shahada zinazo thibitisha kuwa ni mifano bora katika jamii,sijui kama bongo mfumo unaruhusu hayo.
SteveD.
Hata mimi namkumbuka huyo konda wa Ubungo kupitia chuo kikuu miaka ya tisini. Alikuwa hana mchezo na kazi yake. Hajui kupaka poda, wanja wala manukato! God bless her.
ReplyDeleteNampa "shavu" huyu dada. Hayo ndio mambo ambayo tunataka tuone vijana (wake kwa waume) wakifanya na sio biashara za "uhuni uhuni tu" na "haramu". Big up dada yangu. Michuzi kama vp mdadisi huyo dada kuhusu kazi yake (shida na raha) na kama kuna umuhimu wa kumsaidia basi tujulishane ili tuinue mtaji wake maana tukimwezesha yeye kuna wengine wengi tu watanufaika naye.
ReplyDeleteNaamini mwanamke kama huyo sio mtu wa anasa anasa ila yeye ni "kazi tu". Kuna vijana wengi (hasa wa kiume na nguvu zao) kazi yao kuiba na kuuza (na hata kuvuta) bangi. Michuzi naomba pia utoe kopi ya hii page yenye habari zake halafu umpe ili ajue namna gani watu wanamuunga mkono.Akiwezeshwa zidi huenda siku moja akaja pia kuwa mlipa kodi mzuri akainua uchumi wetu.
Sio vijana tukae tunaimba tu mashairi (ya ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya) chini ya mwembe au Ohio.
Ni safi sana kwamba dada anafanya kazi ambayo mademu wengine wasingeweza kufanya, lakini isiwe kwamba anataka ufungue dirisha halafu machizi from no where wanakujakukukaba. I maybe wrong lakini mimi bongo simuamini mtu siku hizi.
ReplyDeleteDuh yule dada konda wa Mwenge-Chuo namkumbuka. Mademu wa UDSM walikuwa wanamtolea macho wakimuona. Basi na yeye alikuwa anawarushia maneno haya, "Acheni kushangaa fanyeni kazi mkono uende kinywani"
ReplyDeleteWe Tanzanianboy mbona sikuelewi lugha unayozungumza? Unampa shavu ili akubusu au afanye nini? Mwenzio anauza magazeti we mashavu unampa ya nini? Msubiri akimaliza kazi ndo umtafute akikubali mpe hata ulimi!
ReplyDeleteEeeh bwana we, mie nina hoja juu ya huyu Shigongo Eric, mbona simuelewi na huu "Waraka wa Shigongo kwa Chifupa". Ni wiki ya tatu au ya nne sasa kila Ijumaa anatoa huo waraka. Kwa kweli kibinadamu, sijapendezwa hata kidogo na hayo ayasemayo, amejishusha daraja kupita kiasi, anafanya mambo ya kike kabisa, nina wasiwasi aliishi sana uswahilini na ndo maana mambo yake ni ya kiswahili. haiingii akilini mtu kama yeye kuandika hayo aliyoyaandika, "oooh mara Amina anasema nilimtongoza akakataa, mara ooh baba yake kanitusi, mara alipanga njama ili mumewe anifumanie nikiwa nae" kweli inakujia akilini! SHIGONGO UNABORE SASA! KAMA NI MCHUANO WA KUGOMBEA UONGOZI KWENYE CHAMA, SI KIHIVYO BRO!
ReplyDeleteNyie mtu za Tanzania iko napenda sana peana moyo,kazi nzuri ipo nyingi tu,kakini sisi mtu ya Jamatini hatuna chezo na kazi ya Duka na ofisi za biashara kuba kuba that is why,you ca never see an Indian hawkering newspaper.Na manamke ya kihindi pana toka barabarani peke ake enewe.Iko takiwa fanya pango na nyie kuwa kama yeye,siyo sifia hii dada iko chomwa jua,ha ha haaaaaa!serikali sasa tasaidiaje zalendo,maana naona watu penda semezana maneno mingi,mimi ametoa oni langu sio watu aanze dondoshea maneno mimi,
ReplyDeleteNimesoma maoni ya wadau. Kwa kweli mmeguswa sana washikaji. Sasa, nilipagawa pia nikataka kusema kama mmoja wetu kwamba adadisiwe ili kama anahitaji lolote tumwezeshe. Nikajizuia kwani naona naye anachacharika kama wengine tunavyochacharika ofisini, gengeni, mamalishe, kuuza mkaa, mikate, ndizi, vitumbua na chapati, n.k. Sasa hapa imeonekana ajabu kwa vile haionekani kwa mtazamo wa kawaida.
ReplyDeleteNaomba niwakumbushe wadau tu kuwa dunia ya sasa siyo ya jana wala juzi. Mabadiliko yanazidi kutokea. Nafikiri mnaweza kuona siku hizi TZ tulivyo na wahandisi wengi wa kike. Tuna fundi umeme wa kike vilevile. Tena naomba mrejeshe fikra hadi miaka ya 80. Ukimwona mwanamke anaendesha gari ilikuwa jambo la kushangaza. Lakini siku hizi ni kawaida.
Ninasikitika tu kwamba watu kama yule konda wa Mwenge - Chuo na dada muuza magazeti hawajitokezi. Nafikiri hapa tuangalie tatizo na tupendekeze jambo la kufanyika.
Mimi naona tatizo ni kuwa watu hawajaeleza waziwazi jinsi wanavyoadmire kazi wanayoifanya wahusika. Yule konda sikuwahi kusikia watu wakimpongeza kwa kazi yake, badala yake walikuwa wakimwangalia kwa kumshangaa. Kumbe katika kushangaa huko kuna watu walikuwa wanampenda kama baadhi ya wadau wa blog hii walivyoonyesha.
Michu, naomba umpatie dada huyu nakala ya haya maoni aone jamii inavyommwona na kumchukulia. Nahisi kwa kufanya hivyo ataendelea na kazi yake na kuwatia moyo wengine kujiunga.
SONGA MBELE DADA! UENDE MBALI!
Watanzania naomba tuchanganue bayana nadhani kila mtu anastahili kupongezwa ,huyu dada ndio fani aliyobaini itaweza kukimu maisha yake na baada ya ujuzi wa ziada anaweza kuhamia kwenye kazi nyingine.Cynthia masasi amejiunga na fani madhuti naye anapaswa kusifiwa kwa mlengo wake pia,hata wale wanaojikusnya pale Joly tusiwatupie madongo kwani mnafikiri wateja wao wangezipata wapi huduma maridhawa za mabinti hao,mbona watu hamtaki fairness in trade.Falsafa imegawanyika kimtazamo,mimi naona maisha ni safari kila mtu anapanga juu ya safari hiyo na chombo cha kutumia,ndio maana wengine wanaingia kwenye siasa,michezo,biashara nk.Hivyo sioni sababu ya kushambulia kundi fulani ambalo halimlazimishi mtu kwa nguvu bali anaingia kwenye negotiation volumtarily.Bandits and robbery are the one which employ forcerful approach in their earning.
ReplyDeleteHuyo mdosi feki acha kutudanganya umeshafika kwenu hindustani kule kuna wanwake wanabeba zege tena kwenye makarai kichwani na wantembeza vitu mkononi kama kawa mkija kwenye nchi za watu ndio mnalowea huko tazama mlivyo haribu uchumi wetu , nyamaza kabisa usionge lolote Dada wa watu kajikwamua big up my sis, na wewe mshamba usiye jua maana ya kutoa shavu ni kumpa big up muwe mnarudi rudi home kuangalia. Kiswahili kina kua usituaibishe cheki ulivyo chemka
ReplyDeletehuyo mdosi ameenda idia lini? mimi nimetoka huko mombai juzi watu wanafanya kazi za nje na wanaungua na jua kuliko hata hili letu.
ReplyDeletehalafu mnasema dar harufu kwa vile hamjui harufu. bwana wangu harufu ilikua kali.
we mdosi kwa vile wew ni mhamiaji . na hata mbongo akienda nchi nyingine atatafuta kazi nyingine na kuwaachia wazawa zao. huko india wapo wengi tu wanafanya kazi hizi. unataka ushahidi nipe email yako nikutumie picha. nilipiga picha nyingi tu
Michuzi miminina jambo moja naujua wanablog watasema lakini nafikiria kama utawatafuta few of these local and small enteprenues kama hawa na mama ntilie vile. waambie waandike au waonyeshe wakiongezewa mtaji wataianuaje biashara yao. kwavile kuna wengine biashara ndogo ndogo ndio wanaweza ukimwengezea mtaji hawezi kupanua biasha....sasa tukipata mshindi...tukamchangia mtaji ...na biashara yake tutamsaidia kumwongooza na update tutataka all the time....
ReplyDeletejust my idea nad we can make it creative...pounds and dollar tano tano..kama watu wenye moyo..tukimtoa moja moja ...mwanamke only tutanyanyua nchi yetu ...ONE AT A TIMe.
Big up dada, usione aibu wala nini, fanya kazi dada jipatie kipato chako. Kitu kimoja ni kwamba hiyo ni kazi kama kazi zingine, wote hatuwezi kuwa mameneja ama wabeba zege (mgawanyo wa kazi), umebarikiwa kufanua hiyo ifanye na uipende.
ReplyDeleteBinafsi sioni ajabu. Inatia moyo sana kuona na akina dada wanachakarika na sio kufanya ndoa ajira.Mbaya sana, maisha kusaidiana jamani.
Kitu kimoja, nimeona mdau mmoja eti anadai yeye mdosi! Inawezekana sikatai, na naelewa wadosi huwa na lafudhi flani ambayo inaendana na kama mdau alivoandika. Japo hainiingii akilini kwamba kuongea ni kitu kimoja, na kuandika ni suala lingine. Mimi nilifikiri wana tatizo katika matamshi tu na sio katika uandishi!? Huu sasa usanii, huyo ni mdosi feki, na hata kama ni wa kweli asituchengue, hawezi shindwa andika kiswahili fasaha, japo kuongea ndio anaweza kushindwa. Au ni mtumishi kwa wadosi nini, kalazimishwa andika as if ni wao ndio wameandika na akajikuta kachemsha kasahau kwamba kuandika na kuongea ni vitu viwili tofauti nini? Well, ni katika kutetea ajira yake pia, pole yako mdosi feki. Kitu kimoja nikukumbushe ni kwamba wewe ni mpumbafu, tena muongo mkubwa, ama hujawahi kabisa fika India (kama ni mdosi kweli). Umezaliwa Tanzania, ukakulia hapo na ndio maana kiswahili kinapanda fresh. Uliza wazazi wako kwa nini hawataki rudi kwao? maisha kule choka mbaya kishenzi, na vile wenyewe wachafu in nature, you can imagine! Na usafiri wenu ule sijui tuite piki piki feki ama nini. We ngoja nikiwa mtu fulani serikalini i bet ntafukuza wote nyinyi, mnatujanzia nchi yetu, kila mwaka sensa na nyie mmo tu, si mkahesabiwe kwenu! Mima hasira na nyie, waangalie.
Michuzi sorry mzee, hawa wadosi wana kero sana aisee, wanaringa bongo tu na kutoa kashafa zisizo msingi, wamefannya mpaka nitoke nje ya topic.
Ni kwamba, dada yetu nakupongeza na wengineo wote wanaojishughulisha kwa namna moja ama nyingine kujipatia kipato chao katika njia halali. Hata hao wa Ohio wazee tusiwasahau, nayo ni biashara jamani, kwani wana dhulumu? Mbona red lights (Holland) serikali imeruhusu? Ile ni huduma kama huduma zingine jamani, acheni mambo ya ajabu na kushangaa, tubadilike.
Nawakilisha.