
mama wa kwanza mh. salma kikwete akizindua ripoti ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa elimu kwa wote duniani na pango wa pamoja wa kutoa huduma za malezi, makuzi na maendeleo kwa watoto wadogo ukumbi wa mtakatifu gasper mjini dodoma leo jioni. shoto ni waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto mh. sophia simba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...