kuna mdau wa tripoli kaleta hii sasa hivi

mimi ni mtanzania niliyopo hapa TRIPOLI - LIBYA . nimeingia sasa hivi kufuatilia matokeo ya timu yetu lakini hakuna web ambayo imenipa uhakika sana bali hii hapa inaonyesha kuwa mpira upo kipindi cha kwanza. http://www.kooora.com/default.aspx?c=2033


pia wadau chekini majamboz hapa http://www.youtube.com/watch?v=KkxPIy39s8E

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    check kwenye www.bbcswahili.com then on sports select live africa nations it will be on your right hand of the screen.
    atleast wanaonyesha magoli kama yamefungwa au ni zero kwa bila etc.
    na nafikiri ipo ktk lugha utakayo ielewa.
    Kule kwa walibya sikuelewa kitu labda kiaarabu changu kidogo, tofauti na chako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    Live: Nations Cup qualifiers

    Follow all the action as it happens from the fifth round of the 2008 Africa Nations Cup qualifiers.

    Times for all matches are in GMT.


    Click on refresh for the latest match updates.




    --------------------------------------------------------------------------------

    RESULT: Zambia 1-1 Chad, Group Eleven
    RESULT: Malawi 0-1 Morocco, Group Twelve
    RESULT: Botswana 2-1 Mauritania, Group Two
    RESULT: Seychelles 0-2 Sudan, Group Four
    RESULT: Namibia 1-1 DR Congo, Group Ten
    1600GMT: Eritrea v Kenya, Group Six
    1600GMT: Cape Verde v Gambia, Group Eight
    LIVE: Tunisia 2-0 Mauritius, Group Four
    LIVE: Burkina Faso 0-0 Tanzania, Group Seven




    --------------------------------------------------------------------------------

    Hivi ndivyo inavyo onekana kwenye BBCswahili Live : Nations Cup Qualifiers na mpira hapa unaendelea, so kwamba umekwisha, nikimaanisha wa Tanzania na Burkina Faso

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    Mdau, ingia http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/6759819.stm
    ni link ya BBC, inatakiwa irefresh every 2mins, but inategemea feed ya laptop ya mwandishi wa BBC uwanjani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...