
dj manywele wa jj blue sunday discotheque akiwa kazini. kuna vijana wanaojiita quite warriors ambao wanaendesha mchakato wa kusaka vipaji vya andagraundi toka kila sehemu bongo kila jumapili ukumbi wa jj blue ulioko kinondoni. hapo kila aliye na mistari hupanda stejini na kuonesha kipaji chake. mshindi anapata udhamini wa kurekodi singo yake ili kumtangaza sokoni. kwa mujibu wa msemaji wa quite warriors, mashaka shabani mangara, mpango huo umeinua wengi na watauendesha mwaka mzima
minywele DUUUUUUUUUH1 ananitisha huyu ukikutana nae usiku unatoka baruti!!!
ReplyDeletehuyu nae!!minywele ka mwisho mwampamba kha! jamani style nyenginezo mujiangalie na sura zenu, tofauti kabisa hapo wapi na wapi mibutu mikubwa inakugeuza mkubwa wa siafu? Du, wadau nipeni maoni yenu juu ya hili, msema kweli mpenzi wa Allah!
ReplyDeletedu mwanangu hayo manywele yanakusitiri sana yaani usingekua na hizo nywele ungekua kituko kweli
ReplyDeleteSnoop Doggy look!
ReplyDeleteKweli umefanana na mzee wa kubwia snoop mwenyewe.