dj manywele wa jj blue sunday discotheque akiwa kazini. kuna vijana wanaojiita quite warriors ambao wanaendesha mchakato wa kusaka vipaji vya andagraundi toka kila sehemu bongo kila jumapili ukumbi wa jj blue ulioko kinondoni. hapo kila aliye na mistari hupanda stejini na kuonesha kipaji chake. mshindi anapata udhamini wa kurekodi singo yake ili kumtangaza sokoni. kwa mujibu wa msemaji wa quite warriors, mashaka shabani mangara, mpango huo umeinua wengi na watauendesha mwaka mzima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2007

    minywele DUUUUUUUUUH1 ananitisha huyu ukikutana nae usiku unatoka baruti!!!

    ReplyDelete
  2. huyu nae!!minywele ka mwisho mwampamba kha! jamani style nyenginezo mujiangalie na sura zenu, tofauti kabisa hapo wapi na wapi mibutu mikubwa inakugeuza mkubwa wa siafu? Du, wadau nipeni maoni yenu juu ya hili, msema kweli mpenzi wa Allah!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    du mwanangu hayo manywele yanakusitiri sana yaani usingekua na hizo nywele ungekua kituko kweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2007

    Snoop Doggy look!
    Kweli umefanana na mzee wa kubwia snoop mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...