MARCIO MAXIMO KADHIHIRISHA UMAHIRI WAKE. WADAU MNASEMAJE?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Yeah Anajitaidi....hila hiyo kadi nyekundi aliyopewa Bukina faso. Inaweza kutugharibu kwa sababu kutokuwepo kwake kwenye benchi mechi hijayo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    Hata akipewa kadi nyekundu, cha msingi awapange vizuri wachezaji wake na wasaidizi wake. Any way ndiyo mambo ya soka hayo.

    GAZ

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    Anajitahidi Mbrazil wa watu,maana soka la bongo lilikuwa linaboa, ila sasa at least mtu unakuwa na hamu haa ya kuutazama mpira. Lakini bado anahitaji muda maana, ni mapema sana kumjaji mbrazil wa watu.
    I believe he can make it.
    Nguvu wanazo hao vijana, na mwalimu yupo sasa ni nia tu wawe nayo. They can make it.
    Hongereni JK BOYZ- OG

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2007

    very simple formula, if you invest enough in soocer you will get positive result, thats what happened today.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2007

    Inawezekana ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuchomoza na ushindi maeneo ya WEST AFRICA???. Michuzi hebu pitia makablasha yako na utuabarishe zaidi...kama tulishawai kushinda kwenye Ardhi ya West Africa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2007

    Michuzi umeenda kushangilia, milango huku kwenye blog ni FULL KUJIACHIA, hakuna kukusubiri upitie wala nini. Ukikuta NDIVYO SIVYO usipige kelele. O'C-Sinza

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2007

    MI NAFIKIRI MAXIMO KATUFIKISHA PAZURI,WADAU WA MPIRA TUENDELEE KUMSHAURI(KAMA AFANYAVYO MANARA) NA SI KUMPONDA KAMA AFANYAVYO JULIO AU MZIRAY,
    KUHUSU KADI NYEKUNDU NAFIKIRI KATIKA MAANDALIZI AMTUMIE TINOCO KAMA ALIVYOFANYA MECHI NA SENEGAL(katika mazoezi Tinoco alikuwa upande mmoja na upande mungine Maximo) ITAMAAR YEYE NI KOCHA WA VIUNGO,BUSHIRI NA KOCHA WA MAKIPA,
    HAPO NIKUMTUMIA TINOCO TU MECHI YA MWISHO,
    KAMTU CHUI-PARIS

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2007

    Mambo yaanza kukaa sawa kwenye soka la bongo! Pongezi kwa Taifa Stars!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2007

    diouf anajiharishia huko aliko maana kesho wakipigwa bao tu. sisi tunakuja kumalizia september kwenye wanja letu jipya, we acha tu mimi sasa hivi nimeshakua mozambikian (mumsumbiji) naomba mungu awabariki jirani zetu wamfunge huyu senegal ,,,, ngoja nienda nikazichape lager zangu kwanza.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2007

    Hawa wamakonde sasa wafanye kweli maana sisi wote taifa moja.Akina Tico Tico watundikeni hao WaSenegali halafu mkija Bongo mtuachie tushinde, eeh.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 16, 2007

    Itabkuwa vizuri kujifunza kireno cha Cocha Maximo. Muito Obrigado = Asante sana. A Luta Continua = Mapambano yanaendelea

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2007

    pamoja na kuwa wachezaji wao wote ni wakulipwa lakini tumewachapa mechi zote mbili, hii inaonyesha sisi tunaweza kuwa na wachezaji wa kulipwa vilevile, we subiri tu tukienda ghana inshallah wachezaji hata watano wanaweza kupata timu mamtoni.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 17, 2007

    Maximo oyeeee huyu mbrazil jamani amechangia kiasi kikubwa sana kutupa raha kama hii ya leo endelea kuwahimarisha vijana Ghana hiyooo inanukia JK boyz oyeeee, Maximo oyeeeee Tanzania oyeee wadau oyeeee ningekuwa bongo lazima ningeenda kuwacheki hawa vijana wanavyowasili

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 17, 2007

    Tuombe mungu leo senegal wafungwe na Msumbiji!! Halafu njia inabakia nyeupe sisi tukiichapa Msumbiji hiyo septemba tunaingia moja kwa moja kama vinara!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2007

    hii inaonesha kuwa mtanzania hata akiwa na phd 60 zisikushituwe ni zakutafutia ofisi na mshahara maana tulianza kumtusi jamaa tangu alipotajwa kuwa atakuwa kocha wa taifa mbaya waliosaidia kumtusi ndo hao wahadhiri wa mlimani tena wanaojidai wana fani sasa jamaa anaonesha kwa vitendo kuwa hii ndo kazi yake na hili ndio tatizo tulipatalao hata kwenye nyanja nyengine kam uchumi na kadhalika ni wababaishaji tu na mbwembwe nyingi hamna lolote ukweli uwezo hatuna ingekuwa si aibu hata ikuli tunge import managimenti ya kingeni mambo yengeenda narudia maana sikusema kwa bahati mbaya mtanzania hata ukimuona na phd 70 hamna kitu aibu ndo hiyo kwa mhadhiri wa universty eneo moja tu la soka yapo mengi hili kwa sasa ndo liko wazi hongera maximo

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2007

    Nakubaliana na wote kuhusu uwezo wa Maximo kufundisha soka, ila ntapingana na wote wanaodhani kwamba Maximo ndio chachu ya mabadiliko ya soka la Tanzania kama tunavyoona sasa hivi. Kwa kifupi haya mabadiliko yameletwa na serikali yenyewe (Political Will) kwa kuamua kuwekeza kwenye soka. Tofauti na zamani ni kwamba Maximo amejengewa mazingira mazuri ya kufundisha mpira ndio maana tunaona yanayoonekana tofauti na kipindi kile timu ilipokuwa na wazawa. Huwezi kumlinganisha Maximo na walimu wazawa wakati kila mmoja kafanya kazi kwenye mazingira tofauti, ukitaka kuwapima wape wote mazingira yanayofanana, mpeleke Maximo Mgulani, wachezaji wakae majumbani then uone kama timu itashinda au la. Ni kosa la jinai kumlinganisha Mwalimu anayefundisha shule yenye kila kitu muhimu na mwalimu anayefundisha shule ambayo wanafunzi wanakaa chini. Come on lads lets analyze issues objectively!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 18, 2007

    ameondoa u father kwenye upangaji wa timu kwa kufuatilia vipaji badala ya majina, makocha wa bongo kuna kitu cha kujifunza hapo.mfano mechi ya kwanza na burkinabe kamuingiza nizar wadau hawakuridhika kwa madai eti hawamjui,mechi ya wagadugu kampanga erasto wadau hao hao wakasema hawamjui!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...