NASEMA HIVIIIII..... MPIRA UMEIKWISHA!!!!!!!!!!!!! NA HIVI SASA DAR NZIMA IMELIPUKA KWA FURAHA NA NDEREMO NA HUKO MIKOANI NAKO NASIKIA WATU WAMEMWAGIANA SUPU KWA FURAHA. JK BOYZ OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
MUNGU ASANTE KWA KUSIKIA DUA ZETU!
MUNGU ENDELEA KUIBARIKI BONGO!
MUNGU ENDELEA KUWABARIKI WADAU....
Proud day to be a Tanzanian....leo Hennessy lazima ikome..ama inikomeshe.. Ghana here we come...
ReplyDeleteTHE SILENT STALKER says.... si matani babaake vijana wamejitahidi wasilewe sifa tu, kazi imebaki kidogo kesho MOZA watusaidie wamchape huyo jamaa mSene
ReplyDeleteHii mechi tumeloga saaana. Cha msingi tukodishe wachawi 2 wa kuloga beki ya msumbiji. O'C-Sinza
ReplyDeleteNAAM VIJANA WAMETUTOA KIMASO MASO INATIA MOYO KUONA MATUMAINI YA KUSONGA MBELE KUELEKEA GHANA BADO YAPO HAI, KESHO TUOMBE MUNGU MSUMBIJI WAWAFUNGE SENEGAL, ITAKUWA NI MATOKEO MAZURI KWETU
ReplyDeleteKWA MECHI MOJA ILIYOBAKI TUKISHINDA HIYO [NA MSUMBIJI INACHEZEWA TZ!] TUTAKUWA NA NAFASI NZURI SANAAAAAAA
KILA LA KHERI STARS!!!
saidi yakubu.
Michuzi umebana weeeeee, umeachia. Hakuna verification wala nini. Huku sinza leo hatuwezi kulala, ni kelele mnoooo. O'C-Sinza.
ReplyDeleteYap vijana wamefanya kweli, kweli nimekubali JK anatisha, ila waache ubishoo inabidi wagangamae hivyo hivyo.
ReplyDeleteGAZ
Sasa michu furaha hizi weka na tahadhari watu wawe maacho wasiishie Bar VIBAKA watafurahi mara mbili, yaani 2-0, ushindi wa stars na ushindi wa kupiga bao nyumba za watu. watu wawe makini.
ReplyDeleteTanzania Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
halafu hiyo picha yako michu kwenye blog ulnavyooneka na furaha utafikiri nakuona live baada ya matokeo haya.
TZ OyEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
VIVA TZ!!Tahadhari ndugu zangu huko bongo shangilieni kwa "kinga" la sivyo mtavipa dili poa virusi leo...ALUTA CONTINUA!!!!!
ReplyDeleteyaani leo Full kujiachia full kujimwaga, kila mahali baada ya michu kuchoka na moderation ya maoni kaacha mlango wazi kaenda kurukaruka sasa ukikuta vibaka washafagia nyumba usifute.......
ReplyDeleteHhahahahahhah
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
TzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTzTz
yaani leo ninavyojisikia furaha kuwa mtanzania we acha tu
ReplyDeleteWabongo na dhiki zetu lakini tunapendana na kuipenda nchi kwa sana.Aisee tumeone mwezi,mungu mkubwa.Hongereni vijana ila shughuli bado, kazeni msuli.Halafu Sensei Michuzi wapigie kelele hao vibosile wa Bongo na TFF ili siku nyingine timu isipande lindege la mwaka 47 wakati wa kusafiri.Watu tunaweza tukawapoteza hawa jamaa hivi hivi kwa ubahili wa kipuuzi.
ReplyDeletehongera Taifa stars.....
ReplyDeletebado tunao uwezo wa kwenda ghanna...
muhimu kuwa na mechi nyingi za kirafiki... na kambi ya stars isivunjwe
big up taifa stars
mungu ibariki Tanzania
Yaani i'm proud to an african in london, na sasa naelekea huko club ya Wakenya Thatched House watatutambua wabongo leo. Kama mtu anataka update ya Msimamo wa group letu acheki hapa http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/6031899.stm , ni noma tunatishaaaa, pia wadau nielekezeni inakuwaje ni bora ya senegal amchape msumbiji au vice versa???pse nifafanulieni...TzTzTzTzTzTzTz.
ReplyDeleteYaani i'm proud to be an Tanzanian african in london, na sasa naelekea huko club ya Wakenya Thatched House watatutambua wabongo leo. Kama mtu anataka update ya Msimamo wa group letu acheki hapa http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/africa/6031899.stm , ni noma tunatishaaaa, pia wadau nielekezeni inakuwaje ni bora ya senegal amchape msumbiji au vice versa???pse nifafanulieni...TzTzTzTzTzTzTz
ReplyDeleteWao JK Boys Hongera!!!
ReplyDeleteHONGERA SANA MR. MAXIMO NA WACHEZAJI WOTE, TUTAFIKA TU GHANA...
ReplyDeleteMimi kusema ukweli sio mpenzi sana wa soka ila hiyo message hapo juu imenitoa machozi kusikia watanzania kila kona wanafurahi na wanaandaman usiku wa manane imenifurahisha sana .
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA
Michuzi hao sio JK boyz bali Taifa stars. Usipotoshe mambo kwa kutafuta sifa.
ReplyDeleteKama Anony wa 9.38 anavyosema, hii timu inaitwa Taifa Shtaaz na si JK Boys, acheni mambo ya kupenda kujikweza kwa viongozi.
ReplyDeletePawasa hajafanyiwa chuki na mtu yeyote.Maximo yupo huru kuchagua mchezaji anayeona anafaa.Pawasa akionekana anafaa ataitwa.Wakati wa kuita wachezaji kwa majina umepita sasa wachezaji wanaitwa on merit sio ushabiki na ngoma ndogo ndogo.
ReplyDeleteHii timu inaitwa TAIFA STARS, hebu acheni kuiita JK boyz. Acheni kujipendekeza. Timu inaitwa TAIFA STARS, haina maana mnaposema JK boyz, kuweni watu wazima.
ReplyDelete