wadau ujumbe toka mbeya umeingia sasa hivi na hiyo snepu
Hi Brother Michuzi!

Thankx alot for you and your blog support hasa kwa kuweka bango la Miss Utalii Mbeya 2007 na Kulipa nafasi Kuonekana kwa Walimwengu!

Kwa ufupi ni Kwamba Miss Utalii Mbeya 2007 amepatikana na ni Mwasiti Charles (22), Mwanafunzi wa U-Katibu Muhtasi katika chuo cha grace (Grace Collage). Mshindi wa pili ni Ndimyaki Mwakililo (20) na mshindi wa tatu ni Leah Lazaro (20) wakati Tiba Omary Mwakipesile (20) alishinda tuzo ya Vipaji baada ya Kumudu vema kuimba na kucheza ngoma za Asili.

Baada ya Mashindano haya, Wanyange hao wataungana na Baadhi ya washindi wa mikoa ya Arusha, Pwani, Iringa, Rukwa na kilimanjaro katika Kutengeneza Filamu ya "Vumbua Maajabu na utalii Mbeya" itakayoanza kurekodiwa hivi karibuni!

Otherwise, nashukuru sana kwa company yako, Blog yako bila shaka ni Moja ya waliochangia ufanisi wa Shindano hili! Thankx Alot! Keep on Making Tanzanians n' all People arround the World Up to date n' really Informed!!

Hata hivyo nakupongeza kwa Kuweka Kitunza idadi (NEOWORX) ya wanao vinjari mtandao wako yakinifu! Bila shaka unajionea mwenyewe Unavyofaidisha Umma! Keep it Up!
Kind regards!

Aziz Chonya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2007

    Mhh, yangu macho, huu umiss bongo sasa hivi mbona kazi ipo, kila kukicha umiss, labda ni season yao, haya!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2007

    Brother Michuzi, picha iko wapi ya Miss Mbeya. Tunataka tumuone basi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2007

    Kaka Misupu ! Nami namuunga mkono huyo Anony wa June 20, 2007 4:22:00 AM EAT, kwamba huyo mleta habari yaani Bw. Aziz Chonya alitakiwa kutuonyesha kwa majina kwa hao waliosimama nani ni mshindi wa kwanza, pili na kuendelea kwa aidha kutumia picha aliyotuma na mabayo iko hapo juu au kukutumia inayoonyesha washindi wa kwanza watatu !!!!!! Ili nasi tuweze kutoa maoni yetu kama WADAU wa MISS UTALII !!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2007

    Hii ni Miss Mbeya ama Miss CCM'S? manake hii kijani na nyeusi ynichanganya, au ndio walidhaminu shindano hili?
    Hata hivyo, hongera kwa waandaaji na washiriki.

    Wasalaam

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2007

    Sawa Aziz, tumekupata lakini mbona miss mwenyewe hujatuonyesha bayana. tupe picha hiyo ya miss utalii mbeya

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2007

    Bw. Michuzi, napenda kuchangia kwa kumpongeza huyo mtoa mchango hapo juu aitwaye Kichwabuta Mwendantwala, kwani ni mchangiaji mzuri sana maana tokea nimeanza kusoma ndani ya hii BLOG yako amekuwa akitoa mawazo kwa sana na yenye mantiki. Sio baadhi ya wadau wa hii BLOG utoa maneno ya kashfa, matusi, masimango tofauti na huyo Bw. kichwabuta. Nampa PONGEZI kwa sana ikiwezekana na wewe binafsi waweza kumpa pongezi zako binafsi. Salimia ndugu na jamaa zangu wote hapo BONGO na poleni kwa BAJETI ya mwaka 2007/2008, kwani nimeisoma kwenye mitandao na imenitia huruma na huzuni sana kwani hayo ni MAUMIVU kwa walalahoi badala ya kuwa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA sasa inakuwa MAISHA BORA KWA WALIONACHO TAYARI !!!!

    Ontario - Canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...